Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Ipo kwa mbele hujaon picha za mbele auHyo ni mall jina ..hamna kitu ... sion parking.. standard za mall sizioni ...hyo iwe plaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo kwa mbele hujaon picha za mbele auHyo ni mall jina ..hamna kitu ... sion parking.. standard za mall sizioni ...hyo iwe plaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Beach plot mjengoKwa mbaali mjengo unainukaView attachment 2607142
Naona arusha kidogo mmeanza kuamka kwenye skysrappersLeo nimepata wasaa wakuzinguka badhi ya maeneo machacheView attachment 2607172
Zipo nying sana ni Jana nilipita baadhi ya sehemu tuNaona arusha kidogo mmeanza kuamka kwenye skysrappers
Unazani kwanini viota vipya vinaota hapo arusha same to Mwanza?Zipo nying sana ni Jana nilipita baadhi ya sehemu tuView attachment 2607370
Mwanza na Arusha ingepata miundombinu wezeshi kama flyovers na interchange hakika miji ingevutia sana ikiwepo miradi ya usafiri kama BRT Dar.Zipo nying sana ni Jana nilipita baadhi ya sehemu tuView attachment 2607370
Kwanini unasema hivyo kamanda, kama Mwanza ni kijiji wapi ni mjini kwa hapa Tanzania?Itoshe kusema Mwanza ni kijiji kikuubwa kilichojaa washamba na wachawi
[emoji23][emoji23]kwa Flyover na Interchange hii mikoa miwil isubiri sana kwanza Hiyo miradi iende Dodoma na Dar es salaam.Mwanza na Arusha ingepata miundombinu wezeshi kama flyovers na interchange hakika miji ingevutia sana ikiwepo miradi ya usafiri kama BRT Dar.
BOT[emoji23][emoji23]kwa Flyover na Interchange hii mikoa miwil isubiri sana kwanza Hiyo miradi iende Dodoma na Dar es salaam.
Yani serikali imeona Dar na Dom ndo mikoa ya maana mikubwa tu tz kumbe hamna kitu ,Kenya majiji kama ya Mombasa,Nakuru na Kisumu yote ni majiji madogo baada ya Nairobi lakini ona maendeleo yake
Mpaka eldoret kuna maflyover njoo Tanzania sasa kila kitu ni Dar sijui wanataka watu wote tuishi hapo mzizima, Mwanza au arusha wakiomba miradi utasikia wapo kwenye feasibility study au wapo wanatafuta pesa kila mwaka wapo wanatafuta pesa lakini miradi ya Dar na Dom pesa huwa ipo tu, haya mambo huwa yanatia hasira sana utazani sisi wengine hatulipi kodi.[emoji23][emoji23]kwa Flyover na Interchange hii mikoa miwil isubiri sana kwanza Hiyo miradi iende Dodoma na Dar es salaam.
Yani serikali imeona Dar na Dom ndo mikoa ya maana mikubwa tu tz kumbe hamna kitu ,Kenya majiji kama ya Mombasa,Nakuru na Kisumu yote ni majiji madogo baada ya Nairobi lakini ona maendeleo yake
Haya si makaratasi broo nawe Bado unaamini wanasiasa wa bongo...Uwanja wa Ndege kwenu hapo mwanza umefika wapi?! Si Bado unasua sua ije kuwa flyover na Interchange [emoji23]
Umeona Hadi yake mradi wa mwendo kasi wanashindwa leta na mikoaa mikubwa wanaishia mkoa mmojaMpaka eldoret kuna maflyover njoo Tanzania sasa kila kitu ni Dar sijui wanataka watu wote tuishi hapo mzizima, Mwanza au arusha wakiomba miradi utasikia wapo kwenye feasibility study au wapo wanatafuta pesa kila mwaka wapo wanatafuta pesa lakini miradi ya Dar na Dom pesa huwa ipo tu, haya mambo huwa yanatia hasira sana utazani sisi wengine hatulipi kodi.
Na bado wameongezewa soko kubwa EA pale ubungo, na hiyo bajeti sijui huwa inasomwa wapi?Umeona Hadi yake mradi wa mwendo kasi wanashindwa leta na mikoaa mikubwa wanaishia mkoa mmoja
Hilo ni karatasii au realityHaya si makaratasi broo nawe Bado unaamini wanasiasa wa bongo...Uwanja wa Ndege kwenu hapo mwanza umefika wapi?! Si Bado unasua sua ije kuwa flyover na Interchange [emoji23]
Sio mchoro huo ni picha halisiHaya si makaratasi broo nawe Bado unaamini wanasiasa wa bongo...Uwanja wa Ndege kwenu hapo mwanza umefika wapi?! Si Bado unasua sua ije kuwa flyover na Interchange [emoji23]