Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kwa mbaali mjengo unainuka
PXL_20230501_045923496.MP.jpg
 
Mwanza na Arusha ingepata miundombinu wezeshi kama flyovers na interchange hakika miji ingevutia sana ikiwepo miradi ya usafiri kama BRT Dar.
[emoji23][emoji23]kwa Flyover na Interchange hii mikoa miwil isubiri sana kwanza Hiyo miradi iende Dodoma na Dar es salaam.

Yani serikali imeona Dar na Dom ndo mikoa ya maana mikubwa tu tz kumbe hamna kitu ,Kenya majiji kama ya Mombasa,Nakuru na Kisumu yote ni majiji madogo baada ya Nairobi lakini ona maendeleo yake
 
BOT
IMG-20221106-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]kwa Flyover na Interchange hii mikoa miwil isubiri sana kwanza Hiyo miradi iende Dodoma na Dar es salaam.

Yani serikali imeona Dar na Dom ndo mikoa ya maana mikubwa tu tz kumbe hamna kitu ,Kenya majiji kama ya Mombasa,Nakuru na Kisumu yote ni majiji madogo baada ya Nairobi lakini ona maendeleo yake
Mpaka eldoret kuna maflyover njoo Tanzania sasa kila kitu ni Dar sijui wanataka watu wote tuishi hapo mzizima, Mwanza au arusha wakiomba miradi utasikia wapo kwenye feasibility study au wapo wanatafuta pesa kila mwaka wapo wanatafuta pesa lakini miradi ya Dar na Dom pesa huwa ipo tu, haya mambo huwa yanatia hasira sana utazani sisi wengine hatulipi kodi.
 
Umeona Hadi yake mradi wa mwendo kasi wanashindwa leta na mikoaa mikubwa wanaishia mkoa mmoja
 
Back
Top Bottom