Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

20230518_102244.jpg
 
Mwanza leteni kale ka hoteli lenu tufananishe na hii gingatic iconic architecture from Chuga is 🔥🔥🔥🔥
IMG_4666.jpeg
IMG_4672.jpeg
 
Hilo jengo hapo ni chuo Cha Kimataifa ESAMI( Eastern & Southern African Management Institute Arusha) ,Sasa wewe usijefananisha ilo jengo na lile la ngurdoto
Chuo cha kimataifa kinafundisha hotel management na tourism
 
Ndio ujue Arusha ni Jiji la kimataifa[emoji1484]View attachment 2626478
Hapa ndio huwa nachanganyikiwa na definition ya ushamba, hapa ndio nakuona wewe ni mshamba kwani kuna courses ngapi kutoka vyuo mbalimbali vinavyotoa taaluma na fani mbalimbali zinazoendana na viwango vya kimataifa, course za biashara kushabihiana na za uturuki pamoja na Dubei unaona ni jambo la ajabu sana.
 
Back
Top Bottom