last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumewachoka na kijengo chenu Cha mchongo [emoji116]Mtaturoga ninyi,A
City whatsup View attachment 2621391
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Chuga maghorofa ya mvuto tunayo mengi sana [emoji23][emoji18]Tumewachoka na kijengo chenu Cha mchongo [emoji116]View attachment 2621445
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa Arusha kaeni mkao wa tahadhari,uswazi City wakiona hivi Huwa wanatamani kuwateka [emoji16][emoji16]View attachment 2622539View attachment 2622540
Proposal ni dual carriageway with six lane .ikiwa na package ya mabey flyover pamoja na Usagara interchange..
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Ikijengwa hii Mwanza nitatembea uchi kuanzia usagara Hadi Airport nakunya njia nzima 🤸🤸Proposal ni dual carriageway with six lane .ikiwa na package ya mabey flyover pamoja na Usagara interchange..
Design yake kama hii[emoji116]View attachment 2624505
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wew mbona unaleta pcha za Singapore ?Proposal ni dual carriageway with six lane .ikiwa na package ya mabey flyover pamoja na Usagara interchange..
Design yake kama hii[emoji116]View attachment 2624505
Sent using Jamii Forums mobile app
Andaa hicho kinyeo ... action speak louder than words[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Ikijengwa hii Mwanza nitatembea uchi kuanzia usagara Hadi Airport nakunya njia nzima [emoji1732][emoji1732]
Hilo jengo lilishabaki gofu kama yale ya kilwa songa mnara ya kilwa kivinje, baada ya muda litawekwa kwenye majengo ya kihistoria yalibaki ukiwa kama mapango ya olduvai gorge.Msije sema hapa labda ni Havard Mikdde Kitombile hapana hapa ni Arusha[emoji1484]View attachment 2624554View attachment 2624555
Chuga inazidi kukimbiza
Zaidi ya Bil.500 zimemwagwa kwenye Jiji la Kimataifa..
Kuna Kamji ka Wavivi Kako ziwani ila watu wake hawana maji 🤣🤣View attachment 2624880
Kwani Mwanza hakuna chuo kinajengwa, hakuna kitu kitafanyika arusha na Mwanza kisifanyike👇👇Chuga inazidi kukimbiza View attachment 2624883
Walau wamewafuta machoziKwani Mwanza hakuna chuo kinajengwa, hakuna kitu kitafanyika arusha na Mwanza kisifanyike👇👇
View attachment 2624911