Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

KONK MASTER Kitombile kwakweli inahitajika utawala wa majimbo ,Yani kwamba Arusha ,Mwanza ,mbeya hizi project hazihitajiki au mana kila kitu ni dar tu ....flyovers zote na Bado awatoshekiView attachment 2631684
Mm ndugu yangu siku hizi nmeamua kukaa na kutulia TU kuangalia mambo ya hovyo nchini Kuna masoko dar ya mabilioni ila hayana watu na bado wanajengewa TU tena complex kubwa wakat huo majiji mengine hatuna, sisi hapa mwanza Kuna maeneo tunavuka Barabara roho mkononi yaan unasubil muwe group ndo mnavuka kama kondoo lakin at interchange TU kujengewa hawafikiriii kabisa,, bro solution ni serikali ya majimbo TU lakin nani atatusemeaa,,binafsi ata Hawa chadema wangekuwa wanahimiza hili la majimbo ningewaunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…