Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mmeishiwa cha kupost, kila siku ni haka kajenga mwishoe katapauka, lakini dawa wa hili jengo ipo jikoni, kuna ujenzi wa sgr mwanza central station yenye uwezo wa kuchukua watu 1000 kwa wakati mmoja👇
IMG-20230319-WA0008.jpg
 
Mwanza kiwanja chenu uchwara kitaisha mwaka gani? Arusha wamejengewa uwanja umeisha ila hofu la Mwanza haieleweki Kila siku story
Screenshot_20230522-134622_1.jpg
 
Back
Top Bottom