Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Mmeishiwa cha kupost, kila siku ni haka kajenga mwishoe katapauka, lakini dawa wa hili jengo ipo jikoni, kuna ujenzi wa sgr mwanza central station yenye uwezo wa kuchukua watu 1000 kwa wakati mmoja👇