Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hivi kwa Arusha vitu vya kawaida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio arusha tu hadi sumbawanga kuna mijengo kama hio, hapa tunaangalia quantity

Kuna ndugu yako nilimtumia hiii picha akasema hata katavi kuna nyumba kama hizo[emoji3] nilimuona mjinga
 
Leo nimeangalia Drone footage ya mwanza .Alichosema ChoiceVariable ni kweli Mwanza sehemu nyingi ni slum ...Yan Jiji halina miti ase ,Wakazi wa Mwanza em jaribuni kupanda miti hata Jiji livutie mnataka kuwa kama dodoma
 
[emoji3][emoji3] umeangalia ya sehemu gani? Hauwezi ukapata picha ya mwanza yote kwenye picha moja never

Miti ni mingi sana [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…