Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Low quality, cheap looking. Average. We have had those in the 90s nyie mnajenga leo? π€£ Mwanza bana
Where are theyLow quality, cheap looking. Average. We have had those in the 90s nyie mnajenga leo? [emoji1787] Mwanza bana
Si mtu kasem hapo mianzin
Everything where ya wapi wakati kila.siku unapiga haka kapicha? ππ
Waje wajifunze vitu classic hapa A ChugaLow quality, cheap looking. Average. We have had those in the 90s nyie mnajenga leo? π€£ Mwanza bana
Google-Ergebnis fΓΌr https://mbuilders.co.tz/wp-content/uploads/2018/10/NYEGEZI-STAND-MWANZA-7.jpeg Endelea kujifariji Mwanza sio saizi yenu!π€£π€£Sisi tuna stand π€£π€£
[emoji116]Sisi tuna stand [emoji1787][emoji1787]
Ametumia methodology zipi .. sampling yake ni kina nani ,,,,Mbumbumbu mwingine huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani Mimi ndio nimetoa hiyo taarifa? Prof.gani msukuma unaemfahamu? NitajieHao Wakerewe ni sehemu ndogo sana! Wewe ungesema tu Wasukuma maana unajificha kwenye kivuli cha mkoa!
ππππ Wewe jamaa unahangaikaga sana na inferiority juu ya Wasukuma hutaki kabisa wawazidi kwa chochote!Kwani Mimi ndio nimetoa hiyo taarifa? Prof.gani msukuma unaemfahamu? Nitajie
Professor mabula mchembeKwani Mimi ndio nimetoa hiyo taarifa? Prof.gani msukuma unaemfahamu? Nitajie
Yule katibu mkuu wizara ya afya Abel makubi, mwanasheria mkuu aliyepita Aderdius kirangi. Na hao ni wale maarufuProfessor mabula mchembe
Professor mayaya (IRDP)
professor nkonoki (IRDP)
Wameisha? ππProfessor mabula mchembe
Professor mayaya (IRDP)
professor nkonoki (IRDP)
Ulitaka nikutajie ukurasa mzima auWameisha? [emoji16][emoji16]
NdioUlitaka nikutajie ukurasa mzima au