Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Low quality, cheap looking. Average. We have had those in the 90s nyie mnajenga leo? 🤣 Mwanza bana
Waje wajifunze vitu classic hapa A Chuga
Screenshot_2023-05-23-13-48-07-026_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-05-27-13-24-30-311_com.google.android.apps.maps.jpg
Screenshot_2023-05-23-13-52-00-593_com.google.android.apps.maps.jpg
 
Juzi wameambiwa wafanyabiashara wa mahoteli na bar mwanza wanavihere kuandamana kuliko wa mikoa iliyowazidi kama arusha na dodoma. Kwa hotel zipi waliulizwa?! 🤣
 
Mbumbumbu mwingine huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ametumia methodology zipi .. sampling yake ni kina nani ,,,,
Conclusion ya research kwenye haikupaswa kuwa na exact number Kwa sababu researcher hajakusanya takwimu za madoctor na maprofessor ,,kama alichagua sample alipaswa aillustrate results zake kwenye percentage na sio number.otherwise ni uongo
 
Kwani Mimi ndio nimetoa hiyo taarifa? Prof.gani msukuma unaemfahamu? Nitajie
😂😂😂😂 Wewe jamaa unahangaikaga sana na inferiority juu ya Wasukuma hutaki kabisa wawazidi kwa chochote!
Process Mahalu wa SAUT
Process! Mihayo wa Bodi ya Utalii! Bila shaka hao wanakutosha kwa leo!
 
Back
Top Bottom