Tena nakuomba ukome kabisa kulinganisha Mwanza na Mbeya! Wewe mwenyewe unajua kabisa Mwanza iko mbali sana kwa kila nyanja! Mbeya hata Iringa tu inawatoa jasho!Mwanza ipi? Ile Ile niliyoiona au Kuna Mwanza nyingine tofauti? Labda vijumba vya kawaida mtakuwa navgo vingi maana mko wengi pia ila kwenye magorofa hakuna kitu hapo Mwanza,Kasi yake ni sawa tuu na Mbeya ππ
Mwanza na Mbeya hawachekani mnachoizidi Mbeya ni hako ka CBD tuu nothing else ila Mbeya inaanzia Airport ya Songwe mpaka Igawilo ni nouma sana .Tena nakuomba ukome kabisa kulinganisha Mwanza na Mbeya! Wewe mwenyewe unajua kabisa Mwanza iko mbali sana kwa kila nyanja! Mbeya hata Iringa tu inawatoa jasho!
Kwamba Majengo ni Maghorofa tu?! Hamna nyumba nyingine zijengwazo? Wasukuma mna akili nyinyiKapitie report ya sensa utaona takwimu zinavyosema si lazima uyaone hapa. Pia Ukipata muda safiri ukajionee.
Hayo maghorofa mbona hayaonekani ..maghorofa ya makaratasiPunguza wivu, arusha haiwezi hizid mwanza kwa kasi ya ujenzi wa nyumba pamoja na maghorofa
Kwamba Arusha hamna maghorofa ya private sector Wala watu binafsi?! Hivi ukiachana na Dar Kuna mkoa gani mwingine wenye private sector nyingi zaidi ya ArushaKwa private sekta katika ujenzi wa magorofa naomba uwe mpole tu! Mwanza iko juu! Ulishawahi kujiuliza pamoja na Arusha kuwa na taasisi kibao za kimataifa kufanya kazi pale lakini bado Mwanza ni kubwa na maendeleo yake yako juu kwa kasi kubwa! Naiona Mwanza ikiwa juu sana maana sasa hivi kuna project ya Reli SGR ambayo Arusha haitegemei kuipata miaka hata 50 ijayo!
Hivi ni statistics za maghorofa au Majengo? ..ujue hata mtu ukijenga kibanda Cha mkaa nacho ni jengoStatics za ujenzi wa maghorofa kama huzijui jikalie tu kimya utaonekana mstaarabu kuliko kushupaza shingo kwa vitu usivyovijua.
Gorofa nyingi Arusha ni za NHC usijisahau sana! Mwanza ina majengo machache sana ya NHC!Hivi ni statistics za maghorofa au Majengo? ..ujue hata mtu ukijenga kibanda Cha mkaa nacho ni jengo
Na hayo mabanda ya Mkaa ndio yamejaa huko Mwanza πHivi ni statistics za maghorofa au Majengo? ..ujue hata mtu ukijenga kibanda Cha mkaa nacho ni jengo
Hata kama ni zako,walijenga Arusha Kwa sababu Kuna wateje ,Mwanza huko nyie endeleeni kukaa kwenye mabandaGorofa nyingi Arusha ni za NHC usijisahau sana! Mwanza ina majengo machache sana ya NHC!
Nimekuambia maghorofa usichokielewa ni kipi hapo.Hivi ni statistics za maghorofa au Majengo? ..ujue hata mtu ukijenga kibanda Cha mkaa nacho ni jengo
Leta na wewe hayo maghorofa ya ArushaππππHayo maghorofa mbona hayaonekani ..maghorofa ya makaratasi
Hivi Kuna mkoa ambao hamna maghorofa ya nhc ? Kwanza Yale ni Maghorofa au vibanda? We jamaa pungaGorofa nyingi Arusha ni za NHC usijisahau sana! Mwanza ina majengo machache sana ya NHC!
Yapo mengi sana mkuuLeta na wewe hayo maghorofa ya Arusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo ndo nimekuwa punga? NHC zile gorofa zao ni vibanda? Unahasira sana! Pungumza mihemko!Hivi Kuna mkoa ambao hamna maghorofa ya nhc ? Kwanza Yale ni Maghorofa au vibanda? We jamaa punga
Vile vijigorofa kila mkoa vipo mzee hata dar Kariakoo ndo vimejaa usismeKwa hiyo ndo nimekuwa punga? NHC zile gorofa zao ni vibanda? Unahasira sana! Pungumza mihemko!
Yaweke humu, labda yapo longido lakini kwa hapo arusha mjini hakuna maajabu.Yapo mengi sana mkuu
Kuna watu hawaijui mwanza halafu ni wabishi na ni wagumu wa kuelewa na vile vile vile Kuna wasio ijua Arusha humu ndani. Kwahiyo Kuna wanaobishana ilimradi anajibu komenti ya mwenzie. Basi acha liende hivyo hivyo.Yaweke humu, labda yapo longido lakini kwa hapo arusha mjini hakuna maajabu.
Kabisa umenena mkuuKuna watu hawaijui mwanza halafu ni wabishi na ni wagumu wa kuelewa na vile vile vile Kuna wasio ijua Arusha humu ndani. Kwahiyo Kuna wanaobishana ilimradi anajibu komenti ya mwenzie. Basi acha liende hivyo hivyo.