Tena nakuomba ukome kabisa kulinganisha Mwanza na Mbeya! Wewe mwenyewe unajua kabisa Mwanza iko mbali sana kwa kila nyanja! Mbeya hata Iringa tu inawatoa jasho!Mwanza ipi? Ile Ile niliyoiona au Kuna Mwanza nyingine tofauti? Labda vijumba vya kawaida mtakuwa navgo vingi maana mko wengi pia ila kwenye magorofa hakuna kitu hapo Mwanza,Kasi yake ni sawa tuu na Mbeya 😁😁