Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kama bangi kali duniani inapatikana Arusha ndio maana hawa watu wa huko kidogo huwa ni dk mbili mbele, au waswahili wanasema dishi limeyumba.... Ndio maana maadhimisho ya kupambana na madawa ya kulevya yamefanyia huko..... Machalii hawakawii kuja na picha za nyumba za matope na kukuambia haya ni mabangalow makali kuliko maghorofa ya Mwanza.
 
Kimsingi Arusha ni vijighorofa vya kutarget watalii tu. Hakuna jipya la kusema wanatisha, Mwanza project zake zinapigwa sehemu mbali mbali. Makampuni ndo yanawekeza, lakini ubora wa sehemu haupimwi kwa majengo tu. Mwanza miundo mbinu ya miradi mkakati ni hatari, stand zake, airport, soko kuu, rock cty mall, daraja la busisi, SGR n.k vitakuja kuwatoa watu ulimi hasa wavuta ganja wa Arusha. Tunakaribia kuilisha Uganda kwa njia ya barabara na dunia kwa njia ya anga
 
Arusha Ina magorofa mara 3 ya Mwanza Sasa wewe hizo porojo za kujifariji unazitoa wapi?
 
Arusha Ina magorofa mara 3 ya Mwanza Sasa wewe hizo porojo za kujifariji unazitoa wapi?
Hahaaa!!! Ghorofa siyo maendeleo, angalia miradi ya kimkakati, nyumba inaweza isiwe ghorofa ila ikawa kali kuliko ghorofa
 
Arusha Ina magorofa mara 3 ya Mwanza Sasa wewe hizo porojo za kujifariji unazitoa wapi?
Watu wanajenga nyumba zisizo za ghorofa kama mahekalu we unazuzuka na ghorofa tu. Idadi ya majengo Mwanza iko kuuule na hakuna za udongo kama za wamasai.
 
After dar ni mwanza!! Ghorofa siyo kipimo cha ukali, nyumba isiyo ya ghorofa inaweza kugharimu pesa mingi kuliko ghorofa. Angalia takwimu hizo za uchangiaji pato la taifa. Hatusubiri royal tour ndo tuchangie pato la taifa
 

Attachments

  • Screenshot_20230627_200737_Chrome.jpg
    97.2 KB · Views: 12
Swafi kabisa. Mwanza haisubiri matunda ya royal tour kutusua, washikaji wanadhani idadi ya maghorofa ndo kuwa juu. Hawajui kwamba unaweza kufika nyumba x isiyo ya ghorofa ila unaisho kama uko peponi. Hadi ujenzi unaoendelea kwa takwimu za 2022 mwanza ni kinara kumpiku hadi dsm.
 
Hili soko litakuja kuilisha kanda ya ziwa yooote ndo inakuwa kariakoo ya kanda ya ziwe.
 

Attachments

  • Screenshot_20230627_193753_Chrome.jpg
    106.4 KB · Views: 10
Watu wanajenga nyumba zisizo za ghorofa kama mahekalu we unazuzuka na ghorofa tu. Idadi ya majengo Mwanza iko kuuule na hakuna za udongo kama za wamasai.
Gorofa inaonyesha una pesa Sasa hizo za Kawaida hata Namanyere nanyamba tandahimba kote zipo
 
Kwamb Rock City Mall mpka Leo mnajisifia nayo?!Kipind Rock City Mall inazinduliwa Arusha kulikuw hamna mall hata moja ..Leo hii Arusha Kuna Aim mall ,Kuna Arusha mall ,Mwanza Bado mmebaki kujisifia na mall moja alafu mnasema eti private sector nyingi zipo huko nonsense!
 
Kuna hali ya hewa inyoitwa green city?! Kwanza Mwanza yenywe kame sioni miti ..Yani Jiji limekauka watu wanajificha milimani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…