Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Kama bangi kali duniani inapatikana Arusha ndio maana hawa watu wa huko kidogo huwa ni dk mbili mbele, au waswahili wanasema dishi limeyumba.... Ndio maana maadhimisho ya kupambana na madawa ya kulevya yamefanyia huko..... Machalii hawakawii kuja na picha za nyumba za matope na kukuambia haya ni mabangalow makali kuliko maghorofa ya Mwanza.