intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 705
- 1,123
Bado nyegezi kamanga hospital wanajenga floor 10 sasa hv wapo ya 6Tupo busy na kuongeza GDP kupitia private investment [emoji116]View attachment 2689096View attachment 2689097View attachment 2689098View attachment 2689099
Yani tangu jiwe afe kaskazini pamefunguka kwakweliViko wapi [emoji16][emoji16]
Wiki ijayo nitakua nisharudi mwanza mjiandae kwa mapicha[emoji95][emoji95]Tupo busy na kuongeza GDP kupitia private investment [emoji116]View attachment 2689096View attachment 2689097View attachment 2689098View attachment 2689099
Nyie wanaarusha wanafiki sana! Magufuli huyo huyo aliruhusu ujenzi wa Ngorongoro Tower na PAPU mnapenda kuongea sana ujinga!Yani tangu jiwe afe kaskazini pamefunguka kwakweliView attachment 2690179
Leta vitu kamanda, pia karibu sana japo ulipotea.Wiki ijayo nitakua nisharudi mwanza mjiandae kwa mapicha[emoji95][emoji95]
Hao huwa hawajielewi.Nyie wanaarusha wanafiki sana! Magufuli huyo huyo aliruhusu ujenzi wa Ngorongoro Tower na PAPU mnapenda kuongea sana ujinga!
Hicho kitu kitashinda hili dude la 16+ floor, awesome, amazing, chaotic, fantastic building, we call it the new bebez in town👇👇Kitu kingine icho kinashushwaView attachment 2690180
Ngoro ngoro tower ,Papu ni miradi ya Magufuli?! Kumbe naongea na watu ambao hawajui wasemaloNyie wanaarusha wanafiki sana! Magufuli huyo huyo aliruhusu ujenzi wa Ngorongoro Tower na PAPU mnapenda kuongea sana ujinga!
Hamna kitu hapo mzee jengo la chuga kubali mkatae limewapiga baoHicho kitu kitashinda hili dude la 16+ floor, awesome, amazing, chaotic, fantastic building, we call it the new bebez in town[emoji116][emoji116]
View attachment 2690949
Nani kakwambia miradi ya Magufuli? Ni miradi iloyitekwerezwa kipindi cha utawala wake! Alikuwa nauwezo wa kuleta figisu hata Ngorongoro Tower isijengwe! Hata hiyo PAPU kama angekuwa na chuki angewakatalia kujenga wakaenda kujengwa kwingine! Wewe haujui kuwa ardhi ya Tanzania kwa sheria ya sasa iko chini ya Rais kwa hiyo Rais akiamaua anaweza kuleta figisu! Punguzeni chuki zenu!Ngoro ngoro tower ,Papu ni miradi ya Magufuli?! Kumbe naongea na watu ambao hawajui wasemalo
Acha sifa halina uzuri kushinda lile dude la capripoint, subiri liishe.Hamna kitu hapo mzee jengo la chuga kubali mkatae limewapiga bao
Sipo mwanza kwa sasa boss ila wiki ijayo vichupa vitakua vingi sanaLeta vitu kamanda, pia karibu sana japo ulipotea.
Maeneo gani haya?Hicho kitu kitashinda hili dude la 16+ floor, awesome, amazing, chaotic, fantastic building, we call it the new bebez in town[emoji116][emoji116]
View attachment 2690949
Hii ni manhattan ya Mwanza, Mtaa wa Rwegasore, karibu na sahara.Maeneo gani haya?
Hi sini project ya ndugu yenu Jiwe ,kweli Jiwe aliwapendelea sana jamani daah[emoji16][emoji16][emoji16]chugaslum ... endelea kupaki mabati yenu kwenye uchochoro ...sie tushatoka huko [emoji116]View attachment 2692459View attachment 2692460
Ngorongoro Tower na PAPU si Magufuli!Nyie wanaarusha wanafiki sana! Magufuli huyo huyo aliruhusu ujenzi wa Ngorongoro Tower na PAPU mnapenda kuongea sana ujinga!
Na alitaka kupeleka Chato!Nani kakwambia miradi ya Magufuli? Ni miradi iloyitekwerezwa kipindi cha utawala wake! Alikuwa nauwezo wa kuleta figisu hata Ngorongoro Tower isijengwe! Hata hiyo PAPU kama angekuwa na chuki angewakatalia kujenga wakaenda kujengwa kwingine! Wewe haujui kuwa ardhi ya Tanzania kwa sheria ya sasa iko chini ya Rais kwa hiyo Rais akiamaua anaweza kuleta figisu! Punguzeni chuki zenu!