Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Viko wapi [emoji16][emoji16]
Yani tangu jiwe afe kaskazini pamefunguka kwakweli
PXL_20230716_144350937.jpg
 
Ngoro ngoro tower ,Papu ni miradi ya Magufuli?! Kumbe naongea na watu ambao hawajui wasemalo
Nani kakwambia miradi ya Magufuli? Ni miradi iloyitekwerezwa kipindi cha utawala wake! Alikuwa nauwezo wa kuleta figisu hata Ngorongoro Tower isijengwe! Hata hiyo PAPU kama angekuwa na chuki angewakatalia kujenga wakaenda kujengwa kwingine! Wewe haujui kuwa ardhi ya Tanzania kwa sheria ya sasa iko chini ya Rais kwa hiyo Rais akiamaua anaweza kuleta figisu! Punguzeni chuki zenu!
 
[emoji16][emoji16][emoji16]chugaslum ... endelea kupaki mabati yenu kwenye uchochoro ...sie tushatoka huko [emoji116]
IMG-20230718-WA0007.jpg
IMG-20230717-WA0002.jpg
 
Nani kakwambia miradi ya Magufuli? Ni miradi iloyitekwerezwa kipindi cha utawala wake! Alikuwa nauwezo wa kuleta figisu hata Ngorongoro Tower isijengwe! Hata hiyo PAPU kama angekuwa na chuki angewakatalia kujenga wakaenda kujengwa kwingine! Wewe haujui kuwa ardhi ya Tanzania kwa sheria ya sasa iko chini ya Rais kwa hiyo Rais akiamaua anaweza kuleta figisu! Punguzeni chuki zenu!
Na alitaka kupeleka Chato!
 
Back
Top Bottom