Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hivi ilikuwaje songwe ukawa wa kimataifa kabla ya wa mwanza
Ndo ninachokisema serkali zetu za kiafrika huwa hazijui kutumia fursa ipasavyo! Unajua Mwanza ni bonge la opportunity kwenye kila idara!
 
Embu tuone source sio unapyuka payuka kama tuko kilabuni
 
Embu tuone source sio unapyuka payuka kama tuko kilabuni
Wewe endelea kujifariji Mwanza ni giant kwa maeneo mengi ila kwa vile hutaki kukubali baki na unachoamini! Hapo sio mimi ona mwenyewe! Hapa angalia na idadi ya lita za mafuta zinazotumika Mwanza na Arusha utapata majibu! Kama utataka nikuletee tena idadi ya local flight za ndege kati ya Kilimanjaro na Mwanza uendelee kushangaa!
 
Shughuli ya Wana Mwanza hiyo! Kilometa kadhaa kutoka mjini! Mtaa wa bwiru huo endeleeni kusubiria mbeleko ya serkali!View attachment 2726079
Mtu una hela unaenda kujenga kijumba kwenye Mawe na mamilima hakuna hata eneo la kutosha la bustani, swimming pool,mazoezi , Watoto kucheza nk.

Huu ni aina nyingine ya ujinga,una hela ila huna maarifa 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…