Ndo ninachokisema serkali zetu za kiafrika huwa hazijui kutumia fursa ipasavyo! Unajua Mwanza ni bonge la opportunity kwenye kila idara!Hivi ilikuwaje songwe ukawa wa kimataifa kabla ya wa mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ninachokisema serkali zetu za kiafrika huwa hazijui kutumia fursa ipasavyo! Unajua Mwanza ni bonge la opportunity kwenye kila idara!Hivi ilikuwaje songwe ukawa wa kimataifa kabla ya wa mwanza
Embu tuone source sio unapyuka payuka kama tuko kilabuniWewe acha visingizio Mwanza iko namba mbili kwenye logistics zote baadae ya Dar! Hata Mkoa kwenye mabasi na vituo vya mafuta Vingi ni Mwanza baada ya Dar!
Hata magari yanayokuja bandarini na kubaki nchini mkoa wa pili kwa idadi ya wateja wa magari ni Mwanza baadae ya Dar!
Kwa hiyo Mwanza kukosa uwanja wa Ndege wa Kimataifa ni uzembe wa serkali yenyewe kutumia fursa!!
Wewe endelea kujifariji Mwanza ni giant kwa maeneo mengi ila kwa vile hutaki kukubali baki na unachoamini! Hapo sio mimi ona mwenyewe! Hapa angalia na idadi ya lita za mafuta zinazotumika Mwanza na Arusha utapata majibu! Kama utataka nikuletee tena idadi ya local flight za ndege kati ya Kilimanjaro na Mwanza uendelee kushangaa!Embu tuone source sio unapyuka payuka kama tuko kilabuni
Tunaomba pichaNYEGEZI MAJENGO MAPYA lazima mtue sauti ya buzi [emoji1787][emoji1787]
Endelea kujifarijiNYEGEZI MAJENGO MAPYA lazima mtue sauti ya buzi [emoji1787][emoji1787]
Mtu una hela unaenda kujenga kijumba kwenye Mawe na mamilima hakuna hata eneo la kutosha la bustani, swimming pool,mazoezi , Watoto kucheza nk.Shughuli ya Wana Mwanza hiyo! Kilometa kadhaa kutoka mjini! Mtaa wa bwiru huo endeleeni kusubiria mbeleko ya serkali!View attachment 2726079