Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kutoka Geita adi mwanza bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Kutoka mwanza mjini adi bukoba bila daraja ni mwendo wa masaa mangapi? Umuhimu wa daraja apo uko wapi? Mwendazake alitumia utashi wake tu maana alikuwa hashauriki.
Kutoka posta mpaka kigamboni kupitia mbagala ni masaa mangapi????
 
Our beautiful home🏡
 
Attachments

  • Screenshot_20231005-072233_Gallery.jpg
    66 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231005-072241_Gallery.jpg
    41.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20231005-072753_Gallery.jpg
    167.4 KB · Views: 6
We jamaa umewasilisha hoja kibabe sana MWISHO UMESEMA VISIT ARUSHA ILA UNGESEMA UWE NA MAOKOTO NDO UTAJUA BATA LA CHUGA kama we ni tiamajitiamaji utadhalilika chuga bora uende ukajitafute kwanza mwanza ndo uje arusha
 
Kifupi ungesema tu arusha ni mji usiokuwa na fursa na huwezi kutoboa, kule unaenda kama kutalii tu sio mji wa watafutaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…