ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
OkeyHuko Kasi zimeanza,ilikuwepo phase one pamoja na Barabara.Mimi Mkoa niliko ujenzi unaendelea
Waliosema Mwanza haijengwi na Serikali wale tuwaone ππ
View: https://twitter.com/tanzaniairports/status/1754500130584014935?t=2Py8wHHiBu5FlkiVZUTB5g&s=19
Fact is Mwanza imeizidi Arusha kwa vitu vingi, hata population ya Mwanza ni kubwa kuliko ya Arusha.
Wanaishia uswazi kwenye mabanda ya nguruwe kule milimani ππArusha ina maghorofa elf7 na Mwanza elfu 2 je watu wa Mwanza wanaishi wapi?
Zile zama za Mwanza kulingia stand zimeisha.
Hahaaaha wakae watulie sasa wasifananishe chuga na mawe yao yale ya mijusi kafiri