Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

GDP ndio Huwa inawafariji si ndio? 🀣🀣

Kula msumari wa moto hapa πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 2927465View attachment 2927466

Arusha 75 vs Mwanza 64 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Tatizo huna akili muda mwingine hao ngedere wa Arusha walishindwa kufikisha bilion 30 leo wataweza 50 bilion alafu unafanya utoto na upumbavu kutuma makisio ya makusanyo huo ni ujinga leta figure halisi.
 
Walishindwa lini? Hujui kusoma au kutafsiri? Unadhani hizo makisio wanajiwekea tuu? Hiyo inakupa picha ya expansion ya uchumi Arusha ndio maana unaona Mapato game jamp Kwa kiasi kikubwa.

Hakuna wakati Arusha Ina Neema kama awamu hii ya 6,hotels zote zilizokuwa zimekufa Sasa zimejaa Watalii.

Kwa taarifa Yako tuu mwaka huu wa 2023/24 wanatakiwa wafikishe 48 bln.

Mwaka 2024/25 wanatakiwa wafikishe 51 bln.

Mwanza ime stuck kule kule Kwa Bln 41 (City plus Ilemela) πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Leta figure achana na makisio.
 
Arusha inazidi kupambwa na majengo marefu.

TGC Twin Towers under construction πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C4djSxnNk-7/?igsh=bWhiZjJjNGJmaDhw
-332798389.jpg
-724874961.jpg
 
Back
Top Bottom