The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Mwanza ni Moja ya Miji ya hovyo sana,yaani hakuna ambae anajihangaisha kwenda kutengeneza video maana hawezi pata views πππUkifunguliwa ban nitag nije nikujibu
Hii video kapost kwenye Uzi wa Arusha vs dodoma πππMwanza ni Moja ya Miji ya hovyo sana,yaani hakuna ambae anajihangaisha kwenda kutengeneza video maana hawezi pata views πππ
Arusha is real growing rapidly with many upcoming high rise buildings ππ
View: https://youtu.be/bAsdADHl8WE?si=qy2gCm-m1-VMrb2s
Arusha inawapiga spana Hadi sio vizuri.Hii video kapost kwenye Uzi wa Arusha vs dodoma πππ
Hongera bila kuona greda ni kama vile unatuletea unafiki watu wa MwanzaNyingi sana hiko mkuu tunawapa hongera π
Hivyo ving'amuzi vinawasaidia nini wahuni wa arusha, au vinawahepusha na bange.Hii inaonyesha umaskini wa watu wa mwanza
Mkoa wa Pili kwa idadi ya watu
Mkoa wenye watu mara mbili idadi ya wa Arusha
Lakini bado kwenye idadi ya vingamuzi mnapigwa chini
Ni kusema nyie hamna TV auπ€£
Heko kwa wanangu wa Mbeya mnaonyesha nguvu yenu ya kiuchumi
Thumbs up! Kwa chuga nyie tunajuaga siku zote Arusha ni Dunia
View: https://x.com/TheChanzo/status/1762892343714144753
Wewe kweli ni kilaza kama uchumi unapimwa kwa ving'amuzi vya azam na sio GDP basi hii nchi inaongoza kwa magonjwa ya akili duniani.Hii inaonyesha umaskini wa watu wa mwanza
Mkoa wa Pili kwa idadi ya watu
Mkoa wenye watu mara mbili idadi ya wa Arusha
Lakini bado kwenye idadi ya vingamuzi mnapigwa chini
Ni kusema nyie hamna TV auπ€£
Heko kwa wanangu wa Mbeya mnaonyesha nguvu yenu ya kiuchumi
Thumbs up! Kwa chuga nyie tunajuaga siku zote Arusha ni Dunia
View: https://x.com/TheChanzo/status/1762892343714144753
Huyo mradi ulitakiwa huwr umeisha mwaka 2022, tuwaze na mengine, lakini tunashukuru kwa haka kamnofu ka sungura.
Arusha wanapata miradi ya utalii kama viwanja, mahoteli, conference hall kubwa, sisi kanda ya ziwa tuna miradi yetu ya kimkakati miradi za kirembo na mapambo tumewaachia arusha na Dar.Arusha hakuna hata mradi mmja mkubwa wa maana ,km 22 Hadi usagara junction ni nyingi sana na automatically lazima watazimaliza Hadi darajani.
Mkuu hivi unadhani Mwanza inapata kile inachostahili?Sasa Ulalamishi wenu wa kutengwa unatokana na nini labda?
Yaani mnashangaza sana
View: https://www.instagram.com/p/C7nnojHNwcS/?igsh=MTQzbDg2cGhmOTBleA==
View: https://www.instagram.com/p/C7nnFrKteHk/?igsh=MzhobWQxMHUzejk3
Kiasharia Cha high per Capita income ,unajitoa ufahamu? π€£π€£Wewe kweli ni kilaza kama uchumi unapimwa kwa ving'amuzi vya azam na sio GDP basi hii nchi inaongoza kwa magonjwa ya akili duniani.
Hata hivyo mnapendelewaMkuu hivi unadhani Mwanza inapata kile inachostahili?
Umemjibu kama mimi safi sana.Na wew ndio unajiona umechambua uchumi wa miji...aliyekuambia idadi ya ving'amuzi ndo kipimo Cha uchumi nani ...mbona hujazingatia ceterius peribus kama cable na satellite dish?
Gap la per capita kati ya arusha na Giant Mwanza unalijua?Kiasharia Cha high per Capita income ,unajitoa ufahamu? π€£π€£
Tunaposema Mwanza imejaa mafukara huo ndio uthibitisho
Wanastahili kulingana na wanachochangia.Arusha wanapata miradi ya utalii kama viwanja, mahoteli, conference hall kubwa, sisi kanda ya ziwa tuna miradi yetu ya kimkakati miradi za kirembo na mapambo tumewaachia arusha na Dar.
Ni Kipimo Cha kiasharia Cha umaskini wa kaya ,unajitoa ufahamu ππNa wew ndio unajiona umechambua uchumi wa miji...aliyekuambia idadi ya ving'amuzi ndo kipimo Cha uchumi nani ...mbona hujazingatia ceterius peribus kama cable na satellite dish?
Arusha imewaacha mbali sana kwenye per Capita incomeGap la per capita kati ya arusha na Giant Mwanza unalijua?
Huu mradi ni balaa tuombe uzima tu.We unadhani kukamilika Kwa mgodi wa nyanzaga 2025 .. sengerema mtaikamatia wapi kwenye mapato
Mkoa gani hauna miradi mikubwa?Huu mradi ni balaa tuombe uzima tu.
Watasema hapa sio Mwanza bali ni Cape town.
Leta takwimu sio maneno mengi kama zuchu.Arusha imewaacha mbali sana kwenye per Capita income