Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hii inaonyesha umaskini wa watu wa mwanza
Mkoa wa Pili kwa idadi ya watu
Mkoa wenye watu mara mbili idadi ya wa Arusha
Lakini bado kwenye idadi ya vingamuzi mnapigwa chini
Ni kusema nyie hamna TV au🀣
Heko kwa wanangu wa Mbeya mnaonyesha nguvu yenu ya kiuchumi
Thumbs up! Kwa chuga nyie tunajuaga siku zote Arusha ni Dunia

View: https://x.com/TheChanzo/status/1762892343714144753

Hivyo ving'amuzi vinawasaidia nini wahuni wa arusha, au vinawahepusha na bange.
 
Hii inaonyesha umaskini wa watu wa mwanza
Mkoa wa Pili kwa idadi ya watu
Mkoa wenye watu mara mbili idadi ya wa Arusha
Lakini bado kwenye idadi ya vingamuzi mnapigwa chini
Ni kusema nyie hamna TV au🀣
Heko kwa wanangu wa Mbeya mnaonyesha nguvu yenu ya kiuchumi
Thumbs up! Kwa chuga nyie tunajuaga siku zote Arusha ni Dunia

View: https://x.com/TheChanzo/status/1762892343714144753

Wewe kweli ni kilaza kama uchumi unapimwa kwa ving'amuzi vya azam na sio GDP basi hii nchi inaongoza kwa magonjwa ya akili duniani.
 
Arusha hakuna hata mradi mmja mkubwa wa maana ,km 22 Hadi usagara junction ni nyingi sana na automatically lazima watazimaliza Hadi darajani.
Arusha wanapata miradi ya utalii kama viwanja, mahoteli, conference hall kubwa, sisi kanda ya ziwa tuna miradi yetu ya kimkakati miradi za kirembo na mapambo tumewaachia arusha na Dar.
 
Wewe kweli ni kilaza kama uchumi unapimwa kwa ving'amuzi vya azam na sio GDP basi hii nchi inaongoza kwa magonjwa ya akili duniani.
Kiasharia Cha high per Capita income ,unajitoa ufahamu? 🀣🀣

Tunaposema Mwanza imejaa mafukara huo ndio uthibitisho
 
Na wew ndio unajiona umechambua uchumi wa miji...aliyekuambia idadi ya ving'amuzi ndo kipimo Cha uchumi nani ...mbona hujazingatia ceterius peribus kama cable na satellite dish?
Umemjibu kama mimi safi sana.
 
Arusha wanapata miradi ya utalii kama viwanja, mahoteli, conference hall kubwa, sisi kanda ya ziwa tuna miradi yetu ya kimkakati miradi za kirembo na mapambo tumewaachia arusha na Dar.
Wanastahili kulingana na wanachochangia.

Nao wanalalamika Kila siku shida ni Barabara mbovu
 
Na wew ndio unajiona umechambua uchumi wa miji...aliyekuambia idadi ya ving'amuzi ndo kipimo Cha uchumi nani ...mbona hujazingatia ceterius peribus kama cable na satellite dish?
Ni Kipimo Cha kiasharia Cha umaskini wa kaya ,unajitoa ufahamu 😁😁
 
Back
Top Bottom