Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Central market
IMG-20240419-WA0012.jpg
 
Dual carriage km 37 itaanza kujengwa.Na mwaka ujao wanaanza ujenzi wa flyover buzuruga pamoja na dual carriage ya musoma road km 25
Unapenda kujipa matumaini hewa😁😁😁

Mwaka ujao upi? Tayari tuko mwaka.mpya wa Fedha na project iliyoko kwenye Bajeti ni km 25 tuu Kwa Ajili ya uchaguzi mwakani ,hizo zingine umejitungia ni porojo.

Zilizosalia Hadi kupelekea.uchaguzi wa 2030 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naona joto la uchaguzi linazidi kupanda,limewasaidia kupata vimiradi vya danganya toto hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9ASlwjN-QE/?igsh=NWxrbTA4NmxhZGpq

Naunga mkono hoja, naona Mwanza tunaendelea kuchezewa kama matoto, barabara ya kilometa 120+ wanakupa kilometa tatu, barabara ya 45km wanakupa kilometa 10, barabara ya kilometa 72+ wabakupa kilometa mbili, hii si haki kama wanataka kujenga ni bora wachague barabara moja waipige yote sio huu ubabaishaji.
 
Back
Top Bottom