ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hivi Kwa nini huko kwenu kila kitu kimekaa ni slums tuu? Mitaa Iko wapi hapo? π€£π€£
Unataka mitaa Gani ...huoni kama hyo rocky settlement patterns......Hivi Kwa nini huko kwenu kila kitu kimekaa ni slums tuu? Mitaa Iko wapi hapo? π€£π€£
Dual carriage km 37 itaanza kujengwa.Na mwaka ujao wanaanza ujenzi wa flyover buzuruga pamoja na dual carriage ya musoma road km 25Haka kamradi kakikata,mtabakia na nini? ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C87E8JOigF9/?igsh=MTJmc3g5YnY5NGw5bQ==
Unapenda kujipa matumaini hewaπππDual carriage km 37 itaanza kujengwa.Na mwaka ujao wanaanza ujenzi wa flyover buzuruga pamoja na dual carriage ya musoma road km 25
Naona joto la uchaguzi linazidi kupanda,limewasaidia kupata vimiradi vya danganya toto hapa ππDual carriage km 37 itaanza kujengwa.Na mwaka ujao wanaanza ujenzi wa flyover buzuruga pamoja na dual carriage ya musoma road km 25
Bado hujasema π kwenu hamna wagombeaNaona joto la uchaguzi linazidi kupanda,limewasaidia kupata vimiradi vya danganya toto hapa ππ
View: https://www.instagram.com/p/C9ARNHTq1gQ/?igsh=MTVvYzRpdnV3cDJjOA==
Kwetu wapi ? Dodoma au Mbeya? Kote tuna miradi heavy weight sio hivyo vya danganya toto ππBado hujasema π kwenu hamna wagombea View attachment 3033572
NakaziaMwanza sio ya kuilinganisha na vimji vya ajabu ajabu kama Arusha.
Iko wapi hyo miradiKwetu wapi ? Dodoma au Mbeya? Kote tuna miradi heavy weight sio hivyo vya danganya toto ππ
Kwani wewe huijua? Miradi hiyo haihitaji kutafutiza ipo na wewe unaijuaIko wapi hyo miradi
Naunga mkono hoja, naona Mwanza tunaendelea kuchezewa kama matoto, barabara ya kilometa 120+ wanakupa kilometa tatu, barabara ya 45km wanakupa kilometa 10, barabara ya kilometa 72+ wabakupa kilometa mbili, hii si haki kama wanataka kujenga ni bora wachague barabara moja waipige yote sio huu ubabaishaji.Naona joto la uchaguzi linazidi kupanda,limewasaidia kupata vimiradi vya danganya toto hapa ππ
View: https://www.instagram.com/p/C9ASlwjN-QE/?igsh=NWxrbTA4NmxhZGpq
Bado hujasema Hadi useme π€£πMwanza Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa hovyo wa makazi Tanzania.Naunga mkono hoja, naona Mwanza tunaendelea kuchezewa kama matoto, barabara ya kilometa 120+ wanakupa kilometa tatu, barabara ya 45km wanakupa kilometa 10, barabara ya kilometa 72+ wabakupa kilometa mbili, hii si haki kama wanataka kujenga ni bora wachague barabara moja waipige yote sio huu ubabaishaji.
Punguza wivu na jiji la Mwanza lenye calibre ya Durban, mithili ya Rio de Janeiro.Bado hujasema Hadi useme π€£πMwanza Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa hovyo wa makazi Tanzania.
Central market
View attachment 3031700