Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Pazuri sana aisee!! na hapo ni nje kidogo ya mji, huu mtaa ndo ingekua Arusha tusingekunywa maji
Tatizo la watu wapitaji huwa wanpita linearly anaona Mabatini, igogo, anakuja na conclusion zenye bulabla kibao, huo mtaa wa malaika bila 200m,hupati kiwanja, kuna ibanda, Bwiru press, Ilemela, Nyegezi majengo, Kiseke, Nyamhongoro pako πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ but malaika soon caprpoint anawekwa bench
 
Mbeya tumepigwa na kitu kizito,eti hii ndio Stendi inatarajiwa kujengwa ni aibu tupu πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Sasa hii ndo itakuwa stend nzuri kuzidi za Mwanza?
Unachekesha sana wewe! Wewe shindana na Kahama huko na maeneo mengine!
Nani kasema ni nzuri kuzidi ya Mwanza? Zote ni mbaya tuu.Stendi nzuri ni ya Arusha tuu

My Take: Mbeya imezidi Mwanza mbali sana ,Kahama size yake ni Tunduma na Makambako
 
Hata hii haina uzuri wowote ni ya kawaida tu kama Nyamhongolo huwezi kuilinganisha na ya Dodoma hata Kidogo!
Hivi kati ya Majiji yote ya Tanzania Mwanza mnazidi Jiji gani? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Mapato ya Jiji la Dom 2023/24 ni Bilioni 51 ,wapi Mwanza? πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…