Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nafaham

Nafaham sana historia yake, ndio maana nasema mtu wa tanga au Arusha yupo juu zaidi ya mkulima wa mwanza. Ndio maana washamba wa maghorofa mpo mmekalia lete pichaa. Yapo mengi sana sina ushamba wa kupigapiga picha wewe.
hayo magorofa ya tanga na arusha mbona hatuyaoni mmekalia domo tu, serikali kuleta hiyo takwimu uchwara ya magorofa werevu tulishaelewa nia yao.
 
Umeua mkuu
 
We mtu wa dodoma ...tulia kwanza ....kama umekuja kusaidia ndugu zako ..leta point na facts sio
Mi mtu wa Dodoma tangu lini?tunataka mprove mwanza ni better sio kwa kura tuonyesheni barabara mitaa hospital shule nk sio porojo na ujinga
 
Sawa kwa miaka mitano, umeishi sehemu gani Arusha...?! Wewe ni Muongo hakuna double road hadi kufika Namanga, double road inatoka Tengeru mpaka Sakina... hata Ngaramtoni haijafika au Usa River haijafika...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mi mtu wa Dodoma tangu lini?tunataka mprove mwanza ni better sio kwa kura tuonyesheni barabara mitaa hospital shule nk sio porojo na ujinga
Sasa unataka nini kama picha umeshapewa Kila kitu ...unataka picha gan sasa
 
Wasukuma Ni wengi siku zote kwa hiyo haishangazi Ila uhalisia kwenye ground uko Kama picha zinavyoonesha na sensa inavuosema
Unapozungumzia picha ..make sure library yako imejaa sio urudie rudie vipicha...
1MIUNDOMBINU
Tunaanza na stendi za mabus [emoji116]

Nyegezi bus terminal (Kwa ajili ya Mikoa ya kusini na magharibi ya jiji)
 
Stendi ya mabus ya nyamhongolo (mikoa ya kaskazini na mashariki ya jiji)
[emoji116]km 15 Toka city center
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…