Ewe mtu wa Arusha, unapobishana watu wa Mwanza kaa ukijua, wenzio wana mentality ya kijijini, ni washamba, hawana exposure, mji wao upo mbali na dunia, hakuna mtu anaujua, anautafuta wala kuwajua. Vitu vingi kwao ni vigeni. Ni watu walioamka kwa mbali sana tena juzi, mnajua sana zaidi yao. Mmewazidi kila kitu. Tafuteni miji ya maana sio Mwanza. Wenzenu kwa akili yao wanadhani wao ukitoa Dar ndio jiji la pili, pili kwa wingi wa watu labda, vingine vyoooote, wameachwa mbali sana pamoja na kubebwa na mfumo miaka kibao.