Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha inachoizidi mwanza labda malaya tu
 
Wewe akili yako ufikiri Tanzania inategemea mikutano tu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwa taarifa Mwanza imekuwa jiji la pili Tanzania hayo maukumbi ya mikutano yakiwepo huko Arusha na Dar.
Sasa mbona Unaumia kuambiwa ukweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe akili yako ufikiri Tanzania inategemea mikutano tu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwa taarifa Mwanza imekuwa jiji la pili Tanzania hayo maukumbi ya mikutano yakiwepo huko Arusha na Dar.
Mkuu ukubwa wa mwanza ni in terms of population ndo 2nd ila Kwa mji unaokuwa Kwa Kasi, Arusha ipo ahead of mwanza in distance cheki tu mfano sensa ya 2022 miji inayoongoza Kwa majengo ya magorofa Arusha ni 2nd after DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…