Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 433
- 454
Shida yako ni mgeni kuhusu Mwanza na sina uhakika na umri wakof na pia nadhani Mwanza unasikiaSasa mbona Unaumia kuambiwa ukweli? πππ
Brother kigezo kikuu cha sehemu kuwa jiji ni population na uchumi(kipato na uzalishaji) wala sio maghorofa.Ambavyo Dodoma haina hata kimoja zaidi ya siasa. Ukiangalia maghorofa basi Dar ni zaidi ya Madrid.By logical thanking watu wengi hawaendi sehemu Bila sababuMkuu ukubwa wa mwanza ni in terms of population ndo 2nd ila Kwa mji unaokuwa Kwa Kasi, Arusha ipo ahead of mwanza in distance cheki tu mfano sensa ya 2022 miji inayoongoza Kwa majengo ya magorofa Arusha ni 2nd after DSM
Sasa Kuna nini hapo mwanza imeanza kujenga kisasa mnoo nyumba za kishua ni nyingi
Sasa Kuna nini hapo mwanza imeanza kujenga kisasa mnoo nyumba za kishua ni nyingi
Sasa Kuna nini hapo mwanza imeanza kujenga kisasa mnoo nyumba za kishua ni nyingi
π¨π¨π¨π¨ππTafuta hela enjoy maisha hii miji nyerere kaiacha iwe juu iwe chini yote Tanzania
Wewe ni mjinga sio Bure na hufatilii mambo mengi ya nchi. SGR mwanza inajengwa na itaiasha hivi karibuni jiji la mwanza majengo mapya yanaanza kusimama na soon mwanza haitashikikaSGR inaenda Burundi,Rwanda na DRC harafu eti Mwanza iwe kitovu ππ
Faraja Kwa mgonjwa ππ
View: https://www.instagram.com/p/DHYHXGXoDcS/?igsh=Nmhwdnp5d3JzaGZo
PovuWewe ni mjinga sio Bure na hufatilii mambo mengi ya nchi. SGR mwanza inajengwa na itaiasha hivi karibuni jiji la mwanza majengo mapya yanaanza kusimama na soon mwanza haitashikika
Tulio wewe kenge wa kienyeji mwanza tuna advantage kubwa mnoo mwanza inanukia umjini mjini hapa sio kujifariji Wala Nini ππππnyumba zinasimama Kila kukicha na muda wowote magufuli bridge linaanza kazi ni mwendo mdundo tuππππππPovu
Faraja kwa mgonjwa π€£π€£
Kwa hiyo majengo mapya unasubiria sgr? ππ
π¨π¨π¨ππTulio wewe kenge wa kienyeji mwanza tuna advantage kubwa mnoo mwanza inanukia umjini mjini hapa sio kujifariji Wala Nini ππππnyumba zinasimama Kila kukicha na muda wowote magufuli bridge linaanza kazi ni mwendo mdundo tuππππππ