Ukiangalia mwanza utagundua hivyo vighorofa uchwara ni vya juzi tena enzi za mwendazake, ndio maana wana wenge sana, hawajazoea yani. Mi naogopa Arusha wakija wenyewe hasa wale. Mwanza will be pulverised, mwanza jamani mjivunie kuzaliana tu. Mambo ya urbanisation, class, waachieni Arusha. Hakuna mtu anawawaza mwanza yani. Kaleni mapanki sasa. Mmeshindwa kupangua report ya NBS kuhusu idadi ya maghorofa, mmeshindwa kupangua list ya maghorofa marefu Tanzania, mpompo tu. Embu tafuteni ligi na Singida au iringa. By the way mji wa moshi umewazidi pia. Pua, pua.