Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza bado sana lol
Angalia maneno hiiView attachment 2467040
The Rio de Janeiro of Africa....hapa ni robo tu ya CBD .lakin wew ushamaliza CBD tayari [emoji28][emoji28][emoji28][emoji116]
JamiiForums246786452.jpg
 
BOT mwanza...
Leta BOT Arusha tucheke[emoji28][emoji28][emoji116]View attachment 2467011View attachment 2467012
Ukiangalia mwanza utagundua hivyo vighorofa uchwara ni vya juzi tena enzi za mwendazake, ndio maana wana wenge sana, hawajazoea yani. Mi naogopa Arusha wakija wenyewe hasa wale. Mwanza will be pulverised, mwanza jamani mjivunie kuzaliana tu. Mambo ya urbanisation, class, waachieni Arusha. Hakuna mtu anawawaza mwanza yani. Kaleni mapanki sasa. Mmeshindwa kupangua report ya NBS kuhusu idadi ya maghorofa, mmeshindwa kupangua list ya maghorofa marefu Tanzania, mpompo tu. Embu tafuteni ligi na Singida au iringa. By the way mji wa moshi umewazidi pia. Pua, pua.
 
Back
Top Bottom