Kwa kipi sasa?Arusha ipo vizuri sana. Mwanza na arusha ni mbingu na ardhi. Arusha next level.
Wewe kwako mshamba ni mtu wa aina gani? Na mjanja ni mtu wa aina ganiTatizo Mwanza kunanuka sana, pia Washamba wengi
Dar kunanuka saana, je hicho ni kigezo kwamba arusha is far better than dar, kuwa serious mkuuTatizo Mwanza kunanuka sana, pia Washamba wengi
Wewe mbona Domo lako linanuka na mimeno yako kama Hindi lililoungua Ile kuandika tu hapa tayari harufu *****. Una ujanja Gani wewe?. Ifike mahali ujue kutofautisha ujanja na ulimbukeni.Tatizo Mwanza kunanuka sana, pia Washamba wengi
Unacheza na akili za unga limited hapa Ile mtu anapretend mjanja wakati lofa mmoja hivi tatu mzuka.Dar kunanuka saana, je hicho ni kigezo kwamba arusha is far better than dar, kuwa serious mkuu
Acha kua mjinga kijana... nitajie mtaa wowote mwanza unaopakana na ziwa hadi wanachi wake waende kujisaidia ziwaniSio Mara moja nimeona wamama wa Mwanza wakinya ziwani
Hayo majitu ni malimbukeni sanaa sasa kuna kipi cha maana arusha ambacho mwanza hakipoUnacheza na akili za unga limited hapa Ile mtu anapretend mjanja wakati lofa mmoja hivi tatu mzuka.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] punguza makasiriko Bwashee mambo Bado ndio Kuna kucha.Hayo majitu ni malimbukeni sanaa sasa kuna kipi cha maana arusha ambacho mwanza hakipo
Mwanza tangu enzi na enzi. Jaribu kutafuta kitu ambacho kipo unique vinginevyo utakuwa unasumbuliwa na ulimbukeni mdogo wangu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] punguza makasiriko Bwashee mambo Bado ndio Kuna kucha.
Arusha inaendelea kuwakera
Ukasahau kwamba izo pesa unazosema za Wachaga wanaleta Wazungu na Wamiliki wa Mahotel ambao pia ni foreigners, ila Chagaz na Chugaz mnalima Migomba na kukimbia miji yenuBado tunarudi palepale Hao watu wachache wa kilimanjaro wanazalisha uchumi mkubwa kuliko nyie wengi
.tukija kwenye population mwanza watu 3.6M
Kilimanjaro hawafiki 1.8M bado ukikokotoa hamna kitu nyie,ilibidi mue na zaidi ya 12Trillions ndio mue sawa na sisiView attachment 2513029
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Arusha wanafanya business za kitalii zaidi hizi local tuwaachie mwanza.Kwa kipi sasa?
Business za kitalii ni zipi?Arusha wanafanya business za kitalii zaidi hizi local tuwaachie mwanza.
Biashara ya raia wa wageni.......Business za kitalii ni zipi?
Analeta nani hiyo sio kazi yakoUkasahau kwamba izo pesa unazosema za Wachaga wanaleta Wazungu na Wamiliki wa Mahotel ambao pia ni foreigners, ila Chagaz na Chugaz mnalima Migomba na kukimbia miji yenu
Na huko ndo kushoboka kwa wazungu, kumbe hela ya mzungu si ya mzawa halafu mwanaume unakuja kuturingia hapa. Elewa tunachosema hapa mwanza Haina mishe zenu za kipuuzi za kulingishia Hela ambayo anakuja nayo mzungu, sisi tunaringa na mzunguko wa Hela kwa mishe zetu wenyewe. Kwahiyo ujue kutofautisha vitu hivi viwili. Na usiombe uwanja wa ndege uanze kuoperate kwa international standard mtaomba poo. Nyanzaga gold mining n.kArusha wanafanya business za kitalii zaidi hizi local tuwaachie mwanza.
Haters mtasema hapa ni Mauritius ...
Kwa nini wazungu wasiwape mwanza pesa, wawape arusha.Na huko ndo kushoboka kwa wazungu, kumbe hela ya mzungu si ya mzawa halafu mwanaume unakuja kuturingia hapa. Elewa tunachosema hapa mwanza Haina mishe zenu za kipuuzi za kulingishia Hela ambayo anakuja nayo mzungu, sisi tunaringa na mzunguko wa Hela kwa mishe zetu wenyewe. Kwahiyo ujue kutofautisha vitu hivi viwili. Na usiombe uwanja wa ndege uanze kuoperate kwa international standard mtaomba poo. Nyanzaga gold mining n.k
Mimi sio hater,Mwanza haitawah kua tourist destination ya nchi hii kamwe,Arusha and zanzibar takes the lead all day everydayHaters mtasema hapa ni Mauritius ...
Hii tourism destination city,,nawapa miaka 5 tu .....mtaanza kulia Kwa meno .. uwekezaji unaokuja huku unalenga kuwanyanganya Kila kitu mlicho nacho View attachment 2518666View attachment 2518676
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ujiulize wewe kama mwaarusha unamchango Gani katika mapato ya mkoa. Maana vijana mnakumbilia kuwa matour guide ndo mwajidai wajanja ππππ. Kuna vitu vinafurahisha sana. Pili mmeiga lafudhi ya Kenya na miondoko Yao halafu unakuja kujiita mjanja. Si Bora tujue tu kuwa huo ni ULIMBUKENI. hata hivyo subiria kidogo soko la utalii litakavyokuwa after some years to come.Kwa nini wazungu wasiwape mwanza pesa, wawape arusha.
Wewe Kuna wakati nakuelewaga. Mishe zako zitakuwa siyo za kushinda standππππMimi sio hater,Mwanza haitawah kua tourist destination ya nchi hii kamwe,Arusha and zanzibar takes the lead all day everyday
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app