Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Dar kunanuka saana, je hicho ni kigezo kwamba arusha is far better than dar, kuwa serious mkuu
Unacheza na akili za unga limited hapa Ile mtu anapretend mjanja wakati lofa mmoja hivi tatu mzuka.
 
Sio Mara moja nimeona wamama wa Mwanza wakinya ziwani
Acha kua mjinga kijana... nitajie mtaa wowote mwanza unaopakana na ziwa hadi wanachi wake waende kujisaidia ziwani

Ukiutaja huo mtaa nafuta account yangu ya jf[emoji3][emoji3]

Ni mbwa tu ndio atakubali huu ujinga[emoji1][emoji1]
 
Unacheza na akili za unga limited hapa Ile mtu anapretend mjanja wakati lofa mmoja hivi tatu mzuka.
Hayo majitu ni malimbukeni sanaa sasa kuna kipi cha maana arusha ambacho mwanza hakipo
 
Hayo majitu ni malimbukeni sanaa sasa kuna kipi cha maana arusha ambacho mwanza hakipo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] punguza makasiriko Bwashee mambo Bado ndio Kuna kucha.

Arusha inaendelea kuwakera
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] punguza makasiriko Bwashee mambo Bado ndio Kuna kucha.

Arusha inaendelea kuwakera

Mwanza tangu enzi na enzi. Jaribu kutafuta kitu ambacho kipo unique vinginevyo utakuwa unasumbuliwa na ulimbukeni mdogo wangu.
 
Bado tunarudi palepale Hao watu wachache wa kilimanjaro wanazalisha uchumi mkubwa kuliko nyie wengi
.tukija kwenye population mwanza watu 3.6M
Kilimanjaro hawafiki 1.8M bado ukikokotoa hamna kitu nyie,ilibidi mue na zaidi ya 12Trillions ndio mue sawa na sisiView attachment 2513029

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ukasahau kwamba izo pesa unazosema za Wachaga wanaleta Wazungu na Wamiliki wa Mahotel ambao pia ni foreigners, ila Chagaz na Chugaz mnalima Migomba na kukimbia miji yenu
 
Arusha wanafanya business za kitalii zaidi hizi local tuwaachie mwanza.
Na huko ndo kushoboka kwa wazungu, kumbe hela ya mzungu si ya mzawa halafu mwanaume unakuja kuturingia hapa. Elewa tunachosema hapa mwanza Haina mishe zenu za kipuuzi za kulingishia Hela ambayo anakuja nayo mzungu, sisi tunaringa na mzunguko wa Hela kwa mishe zetu wenyewe. Kwahiyo ujue kutofautisha vitu hivi viwili. Na usiombe uwanja wa ndege uanze kuoperate kwa international standard mtaomba poo. Nyanzaga gold mining n.k
 
Analeta nani hiyo sio kazi yako

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Haters mtasema hapa ni Mauritius ...
Hii tourism destination city,,nawapa miaka 5 tu .....mtaanza kulia Kwa meno .. uwekezaji unaokuja huku unalenga kuwanyanganya Kila kitu mlicho nacho
20230214_204144.jpg
20230212_095031.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huko ndo kushoboka kwa wazungu, kumbe hela ya mzungu si ya mzawa halafu mwanaume unakuja kuturingia hapa. Elewa tunachosema hapa mwanza Haina mishe zenu za kipuuzi za kulingishia Hela ambayo anakuja nayo mzungu, sisi tunaringa na mzunguko wa Hela kwa mishe zetu wenyewe. Kwahiyo ujue kutofautisha vitu hivi viwili. Na usiombe uwanja wa ndege uanze kuoperate kwa international standard mtaomba poo. Nyanzaga gold mining n.k
Kwa nini wazungu wasiwape mwanza pesa, wawape arusha.
 
Kwa nini wazungu wasiwape mwanza pesa, wawape arusha.
Ndo ujiulize wewe kama mwaarusha unamchango Gani katika mapato ya mkoa. Maana vijana mnakumbilia kuwa matour guide ndo mwajidai wajanja 😀😀😀😀. Kuna vitu vinafurahisha sana. Pili mmeiga lafudhi ya Kenya na miondoko Yao halafu unakuja kujiita mjanja. Si Bora tujue tu kuwa huo ni ULIMBUKENI. hata hivyo subiria kidogo soko la utalii litakavyokuwa after some years to come.
 
Back
Top Bottom