Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

[emoji16][emoji16] arusha wanakoishi diplomatic ni maeneo gani hayo

Arusha hakuna sehemu yenye makazi standards kuizidi shamaliwa mwanza [emoji16][emoji16].. picha zitaongea nikunyooshe

Hapo bado sijataja mitaa na kata za matycoons kama capri point,bwiru,nyasaka,mwananchi, kiseke,nyamhongolo,monarch,nyegezi majengo mapya na baba Lao buswelu golden city[emoji16]

Hilo la wakazi kunya ziwani sijui umelitoa wapi?... naomba unitajie mtaa mmoja unaopakana na ziwa hadi wanachi wa huo mtaa waende kujisaidia ziwani
 
Leta picha za porshy neighborhood tukuonyeshe pengine ujinga umekujaa kuliko uhalisia. Hii kitu Haina takwimu ili kuondokana nayo njoo na picha tuje na picha uone kama unastahili hata kubisha
 
Leta picha za porshy neighborhood tukuonyeshe pengine ujinga umekujaa kuliko uhalisia. Hii kitu Haina takwimu ili kuondokana nayo njoo na picha tuje na picha uone kama unastahili hata kubisha
Ukiwaomba picha za hayo maghorofa na neighbourhood huwa wanakaa kimya, huwa najiuliza hizo takwimu za maghorofa 20000 ya arusha na maghorofa 9 ya mwanza mbona kama kuna uwalakini kati ya takwimu na mambo halisi kwa ground.
 
Nasubiri Mr. Falla sunk ajitoe ufahamu atume picha aone kama kamasi halijamtoka masikioni
 
Mji bila beach ni kama tako bila chupi.
Arusha ni pazuri ila kitendo cha kukosa beach kimeharibu ladha yote ya city.
Mwanza ni pazuri kuliko Arusha na bado kuna beach ila bado mnashindanisha[emoji38][emoji38]
 
We kweli ni kichaa kama sio chiZi ,, mapato ya TRA mbeya imepigwa za uso na Kagera ,Musoma ,na songwe...hii inamaanisha mikoa hyo ni matajiri kuliko mbeya .. ..
Mpaka sasa hujaleta empirical evidence ya kuthibitisha maneno yako hayo .. living standard, barabara,huduma za afya nk...
Kuhusu mandhari hata usiongee Dar,kigali,hazijatajwi na trip advisor Kwa hyo ni miji mibaya ...kadri siku zinavyoenda unazidi kuwa out of your mind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti wanakoishi diplomats... tofauti na njiro ni mtaa gani arusha wa kuuita porshy neighborhood........,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hii ndio dual carriage mnayoipigia kelele humu ...Bora hata tusiwe nayo .
[emoji28][emoji28]...
Huu ni uchafu sio dual carriage.ya kuwa kwenye majiji ...sana sana tutaita njia mbili

Kingine ukitaka kuamini Arusha mitaa yake ni mabanda na migomba tazama hii video tokea tengeru angalia mitaa yake ,,Hadi ufike Sakina [emoji12][emoji12][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajitoa ufahamu au siyo? [emoji16][emoji16]

Dual carriage inaanzia njia 4 na kuendelea, hakunaga kitu inaitwa njia 2 .

Kwani hiyo Ina shida gani na zingine zikoje Mzee?
 
Hata kama kipofu utasoma hivyo hivyo [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mji bila beach ni kama tako bila chupi.
Arusha ni pazuri ila kitendo cha kukosa beach kimeharibu ladha yote ya city.
Mwanza ni pazuri kuliko Arusha na bado kuna beach ila bado mnashindanisha[emoji38][emoji38]
Beach za kazi gani wakati.kuna Mandhari kama Switzerland huko
 
Unajitoa ufahamu au siyo? [emoji16][emoji16]

Dual carriage inaanzia njia 4 na kuendelea, hakunaga kitu inaitwa njia 2 .

Kwani hiyo Ina shida gani na zingine zikoje Mzee?
Mbona unaruka ruka leta hizo za mitaa wanakoishi vitajiri vya arusha nikupe somo [emoji16] la bure
 
Mkuu baasii usitoe silaha zote utamuua, kwanza saivi ili takiwa tuanze kufikiria tunamsogeleaje kwa ukaribu zaidi dar
Kubattle na miji kams Arusha, mbeya na Dodoma nikuendelea kujidumaza tu, tunatakiwa twende extra miles, tubattle na miji mikubwa tupate miundombinu tunazostahili kama jiji la Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…