Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Unajitoa ufahamu au siyo? [emoji16][emoji16]

Dual carriage inaanzia njia 4 na kuendelea, hakunaga kitu inaitwa njia 2 .

Kwani hiyo Ina shida gani na zingine zikoje Mzee?
Unajua maana ya neno dual au unaongea tu ....dual means two ..njia mbili za kwenda njia mbili kurudi ...hii ndiyo dual ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya neno dual au unaongea tu ....dual means two ..njia mbili za kwenda njia mbili kurudi ...hii ndiyo dual ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Barabara yenye 6 lanes sio Dual carriage au siyo? [emoji16][emoji16][emoji16]

Basi tufanye ule upuuzi wa kwenda airport ya Mwanza ndio dual carriage way Kali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Utajiri lazima uonekane kwenye living Standards kama hauonekani ujue nyie Bado ni maskini
Usitufanye sisi mazuzu ...unachanganya English na kiswahili unajikuta mjanja kumbe umeongea pumba... utajiri uonekane kwenye living standard [emoji16][emoji28][emoji28]..aisee . ........
Utajiri haupimwi Kwa namba za makadirio au hesabu za wachumi .[emoji12][emoji3062][emoji3062].. utajir unaonekana ...umeambiwa ulete porshy neighborhood umebaki kukodoa macho [emoji12][emoji28][emoji28]... NJOMBE OYEE.. njombe ni jiji Tajiri kuzidi Arusha full stop .source nbs [emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Porojo hazina nafasi ,Arusha ni kazi tuu


 
Hapo kwenye posh neighborhood anarukaruka tu
 
Huyu ifike mahali apambanie mkoa wake wa njombe. Naamini tunawasakama watu wa Arusha kwasababu ya mpumbavu mmoja wa njombe. Unafikiri machalii wa Arusha hawaoni huu Uzi ni kwamba wao niwaelewa sasa mwanawanging'ombe kichwa imechemka. Ila twende naye hivi hivi Kuna siku ataelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…