Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]Ukiendelea narudi Tena, ujue tunawachora tu.
Unajua maana ya neno dual au unaongea tu ....dual means two ..njia mbili za kwenda njia mbili kurudi ...hii ndiyo dual ....Unajitoa ufahamu au siyo? [emoji16][emoji16]
Dual carriage inaanzia njia 4 na kuendelea, hakunaga kitu inaitwa njia 2 .
Kwani hiyo Ina shida gani na zingine zikoje Mzee?
Switzerland ya nyoko... Switzerland kuwe na migomba hvyo .........Beach za kazi gani wakati.kuna Mandhari kama Switzerland huko
Tutolee outdated figure hapaHata kama kipofu utasoma hivyo hivyo [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]View attachment 2519296
Ko njombe ni matajiri kuzidi Arusha [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4][emoji4]. NJOMBE OYEEHata kama kipofu utasoma hivyo hivyo [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]View attachment 2519296
Utajiri lazima uonekane kwenye living Standards kama hauonekani ujue nyie Bado ni maskiniKo njombe ni matajiri kuzidi Arusha [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4][emoji4]. NJOMBE OYEE
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana inaitwa Geneva of Afrika,Hilo sio jina la bahati mbaya na ndio maana Kila mwaka Iko top 10.kama favourite.Switzerland ya nyoko... Switzerland kuwe na migomba hvyo .........
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Barabara yenye 6 lanes sio Dual carriage au siyo? [emoji16][emoji16][emoji16]Unajua maana ya neno dual au unaongea tu ....dual means two ..njia mbili za kwenda njia mbili kurudi ...hii ndiyo dual ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo Kuna nini Cha maana Bwashee? Ujenzi umeanza wewe unaleta hadithi.Tukienda kwa mfumo huo utakimbia. See this center below ipo under construction
View attachment 2519406
Usitufanye sisi mazuzu ...unachanganya English na kiswahili unajikuta mjanja kumbe umeongea pumba... utajiri uonekane kwenye living standard [emoji16][emoji28][emoji28]..aisee . ........Utajiri lazima uonekane kwenye living Standards kama hauonekani ujue nyie Bado ni maskini
Porojo hazina nafasi ,Arusha ni kazi tuuUsitufanye sisi mazuzu ...unachanganya English na kiswahili unajikuta mjanja kumbe umeongea pumba... utajiri uonekane kwenye living standard [emoji16][emoji28][emoji28]..aisee . ........
Utajiri haupimwi Kwa namba za makadirio au hesabu za wachumi .[emoji12][emoji3062][emoji3062].. utajir unaonekana ...umeambiwa ulete porshy neighborhood umebaki kukodoa macho [emoji12][emoji28][emoji28]... NJOMBE OYEE.. njombe ni jiji Tajiri kuzidi Arusha full stop .source nbs [emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] nataka nimnyooshe taratibuMkuu baasii usitoe silaha zote utamuua, kwanza saivi ili takiwa tuanze kufikiria tunamsogeleaje kwa ukaribu zaidi dar
Hapo kwenye posh neighborhood anarukaruka tuUsitufanye sisi mazuzu ...unachanganya English na kiswahili unajikuta mjanja kumbe umeongea pumba... utajiri uonekane kwenye living standard [emoji16][emoji28][emoji28]..aisee . ........
Utajiri haupimwi Kwa namba za makadirio au hesabu za wachumi .[emoji12][emoji3062][emoji3062].. utajir unaonekana ...umeambiwa ulete porshy neighborhood umebaki kukodoa macho [emoji12][emoji28][emoji28]... NJOMBE OYEE.. njombe ni jiji Tajiri kuzidi Arusha full stop .source nbs [emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sio Beverly hills California...ni Ilemela Mwanza Tanzania [emoji16]Porojo hazina nafasi ,Arusha ni kazi tuu
Sasa hapo Kuna nini Cha maana Bwashee? Ujenzi umeanza wewe unaleta hadithi.
![]()
Arusha gem centre set for Sh19 billion expansion
The centre’s expanding mandate made the changes necessary.www.thecitizen.co.tz
Soma vizuri hiyo makala Kuna ghorofa 9 hapo usijifanye hujaona.
Huyu ifike mahali apambanie mkoa wake wa njombe. Naamini tunawasakama watu wa Arusha kwasababu ya mpumbavu mmoja wa njombe. Unafikiri machalii wa Arusha hawaoni huu Uzi ni kwamba wao niwaelewa sasa mwanawanging'ombe kichwa imechemka. Ila twende naye hivi hivi Kuna siku ataelewa.Usitufanye sisi mazuzu ...unachanganya English na kiswahili unajikuta mjanja kumbe umeongea pumba... utajiri uonekane kwenye living standard [emoji16][emoji28][emoji28]..aisee . ........
Utajiri haupimwi Kwa namba za makadirio au hesabu za wachumi .[emoji12][emoji3062][emoji3062].. utajir unaonekana ...umeambiwa ulete porshy neighborhood umebaki kukodoa macho [emoji12][emoji28][emoji28]... NJOMBE OYEE.. njombe ni jiji Tajiri kuzidi Arusha full stop .source nbs [emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app