Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Hyo ndio dual carriage yebu mnayolingia humu Kila siku [emoji28][emoji28][emoji28]...
Sa si Bora hii [emoji116]View attachment 2520992

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji13][emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38] my foot ,ndo Kali ya Mwanza hiyo ?

Acha kudhalilisha maana ya dual carriage road ,huo ni upuuzi.

Ona hii ya Arusha,six lanes with grade seperation [emoji116]

View attachment 2521252View attachment 2521254
View attachment 2521261View attachment 2521260View attachment 2521258View attachment 2521259
 
Jifunze namna ya kupost,,,... mpangilio wa picha ni mbovu
 
Ili ni msaada wa AFD, ila arusha bado mnasafari kubwa sana, nimeamini Mwanza ni dude kubwa sana hapa Africa.
 
Ili ni msaada wa AFD, ila arusha bado mnasafari kubwa sana, nimeamini Mwanza ni dude kubwa sana hapa Africa.
Arusha Ina safari ya kulingana na Nairobi au Dar ,hizo takataka zingine mnaita Mwanza sio level zake..

Huo msaaada Kwa nini haukupelekwa Kwa wavuvi huko Mwanza?
 
Hilo jengo la arusha ulilopost lililojengwa katikati ya uswazi nalo ni jengo la msaada wa nchi gani?
Sijui wewe utuambie Nchi iliyotoa huo Msaada.

Pili Kwa nini halikujengwa Kwa wavuvi huko Mwanza ? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sizitaki mbichi hizi [emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…