Naleta vitu konki sina maneno leoArusha wakileta eneo kali kama hili nafunga account
Lakini Mbona Hapa Ni Mwanza [emoji28][emoji28]Kojoa ulale,Arusha is next level View attachment 2521822View attachment 2521821
Huo mwenzio ameishiwa adi analeta picha za Mwanza, jama jama hiii yaaani ili li Mwanza kumbe nili dubwasha la hatari😂😂😂😂😂
Arusha hamna mji hapo kuzidi zanzibar, list ni hiiMhh.. Ila mimi naona Arusha pametulia kuliko Zanzibar ila basi tu. Ukitoa Dar na Mwanza Arusha ndio ifuatie
Chuga IleeeeeHuo mwenzio ameishiwa adi analeta picha za Mwanza, jama jama hiii yaaani ili li Mwanza kumbe nili dubwasha la hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ivyo vinyumba hapo chini vimeozaKojoa ulale,Arusha is next level View attachment 2521822View attachment 2521821
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo ni mwanza mmeanza kuchanganyikiwa mnatuma pic za mwanz mnasema Arusha. Uzi ufungweKojoa ulale,Arusha is next level View attachment 2521822View attachment 2521821
Nmeshtukia baada ya kuona vibanda ni vingi kuliko nyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo ni mwanza mmeanza kuchanganyikiwa mnatuma pic za mwanz mnasema Arusha. Uzi ufungwe
Endelea kujifarijiNmeshtukia baada ya kuona vibanda ni vingi kuliko nyumba
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kiboko ya hii ni hilo hapo jengo la tecno 13+ floor plus underground 14
Mnaogopa kulike pocha kama hizi kiaa tu jengo liko Arusha[emoji3][emoji3]
Hapa Kuna nini Cha ajabu Sasa?[emoji1][emoji1][emoji1] usibato na mwanza kama una vipicha vya kuokota
View attachment 2522005View attachment 2522007View attachment 2522009