Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Aibu ndogo ndogo kama hizi msiwe mnajitakia..

Hivi hizo ni Barabara kweli au ushenzi? Umewahi kuona Dar Kuna vibarabara vya hovyo kama hivyo?

Jifunzeni hata Mbeya Barabara za mtaani View attachment 2522045
 
Kama hauijui kata ya nyatako mwanza ndio hiii sasa nikubwa kuizidi arusha yote na nzuri balaaa

Ukichukua kata mbili za nyakato na kirumba ni kubwa kuizidi arusha town+dodoma na mbeya combined [emoji3][emoji3]

Napiga kwenye utosi... matajiri wapo uku[emoji95][emoji95]
 
Hizo ni picha za mitaani wala sio town [emoji1][emoji1] leo nataka nikuoneshe ni jinsi gani mwanza kubwa na nzuri kuizidi arusha
Acheni kutoa aibu,hivi huo Mji wenu Kwa nini hamjengi Barabara Zenye viwango na hadhi ya Jiji?
 
Aibu ndogo ndogo kama hizi msiwe mnajitakia..

Hivi hizo ni Barabara kweli au ushenzi? Umewahi kuona Dar Kuna vibarabara vya hovyo kama hivyo?

Jifunzeni hata Mbeya Barabara za mtaani View attachment 2522045View attachment 2522046
[emoji3][emoji3][emoji3] kwenye barabara za mitaani utakimbia tena... ok basi twende na barabara za mitaani


Kazi yangu kuu ni kupiga utosi

Nimekumia baadhi ya barabara za mitaani kilometer 10+ kutoka city center [emoji16][emoji16]

Usije na mitaa ilipitiwa na barabara kuuu
 
Arusha ni Geneva ya Africa tunaitaji picha za mitaa wanakoishi madoni[emoji16] mmekimbia

Barabara za mitaa mmekimbiaa

City center napo mmekimbia basi njooni mtubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…