Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Capri point Mwanza inaenda ligi moja na masaki ya dar hutaki kunya tikiti[emoji16][emoji16][emoji16]


Hiii inaitwa MWANA UKOME

Mwanza ni taifa kubwa sana



Capri point mwanza Tanzania na hiii ni Capri point tu bado bwiru,nyasaka,kiseke,nyegezi majengo mapya,mwananchi,nyamhongolo [emoji16][emoji16]


Njiro left[emoji3]

Baada ya Capri point bwiru typing.. nyasaka tying....mwananchi tying [emoji3].... kiseke[emoji16][emoji16].... ilemela [emoji1][emoji1]... isamilo tying Arusha,mbeya,dodoma,tanga left[emoji378]... .. igogo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yaani mnaishi kwenye mawe na maponga [emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mwanza hamna barabara nzuri.hater mmoja Toka njombe alisikika akisema..
[emoji116]View attachment 2522573View attachment 2522583

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kuilinganisha Mwanza ña Arusha ni embarrassment kwa Mwanza,nashauri watu wa mwanza hata msichangie tena kwenye hii battle kwa ajili ya heshima ya mwanza,

picha hii tu uliyoiweka mapema ilikuwa inatosha kutofautisha mbingu na ardhi,hatakama hawa wenye meno yaliyo ungua wataleta ubishi wao wa kuzaliwa haitaifuta mwanza ndio second city after dar es salaam
 
Yaani mnaishi kwenye mawe na maponga [emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mzee wa uzunguni,kijenge,njiro na wapi vile[emoji3][emoji3]

Jamaa unaroho ngumu sana

Unacomenti uku unalia[emoji1][emoji1]


Eti wame na mapango Capri point hata ukoo wenu wote mkichanga hela hamuwezi hata kujenga msingi

Capri point viwanja vya makazi vinaanzia 700milion hapo bado kupasua miamba na kusawazisha[emoji1]

Pia kuna maeneo ya tambarare yakishua kama nyasaka,kiseke,isamilo,buswelu,mwananchi,nyamhongolo,shamaliwa,monarch,minazi minatu nk[emoji1]

Ni wewe tu useme unataka nini nipo hapa kukunyoosha
 
Post upya ... [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...hiyo vegetation Iko wapi hapa [emoji28][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nyakato haipo ata kwenya top 10 ya best neighbourhood za Mwanza lakn inaikalisha cbd ya mbeya na arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…