Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wasukuma washamba.... wanakotoka Wasukuma sasa [emoji16][emoji16]

Vipi kama hapa pangekua ni arusha[emoji16][emoji16]


MWANZA Tanzania,,,


Leo kazi yangu ni kuwafungua ubongo watu wa arusha[emoji16] View attachment 2522750View attachment 2522751
Kwa kweli me huwa nachoka mtu akisema watu wa mwanza ni washamba, sasa mtu unajiuliza ushamba wetu upo wapi[emoji23] mbona tunaishi na ma vitu makubwa makubwa, majumba, mahospital, ma mall, ma hotel, ma beach na yote tumeyazoeaa
 
Kwa kweli me huwa nachoka mtu akisema watu wa mwanza ni washamba, sasa mtu unajiuliza ushamba wetu upo wapi[emoji23] mbona tunaishi na ma vitu makubwa makubwa, majumba, mahospital, ma mall, ma hotel, ma beach na yote tumeyazoeaa
Shida ya walio wengi hawajui kutofautisha maneno haya matatu,USHAMBA, ULIMBUKENI NA UJANJA. Hiyo imekuwa kama silaha kwamba ukimuwahi mwenzio kumwambia mshamba basi wewe utaonekana mjanja sana. Akili hii huchagizwa na matumizi ya madawa, nahisi mnawajua watumiaji wanavyokuwa wababe na kujiona wajanja, bangi na mbege😀😀😀😀. Kwenye mbege nimetania.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Haya maeneo ukisikia majina yake yakitajwa utafikiri pako poa sana, fika kajionee ndo utajua kwa Mungu si kwa mzungu.
Kuna vumbi tifu na harufu flan ya kukera.Halafu vijumba vyake utadhani upo maeneo ya Kibera
 
Hivi mkuu wa mkoa wa arusha anaitwa nani? Nataka nmtag aje aone vijana wake walivyokimbia[emoji16][emoji16][emoji16]

Zimeshuka sindano kama mia sehemu moja[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…