Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Umelowa[emoji1][emoji1] MWANZA ni jitu kubwa sana lenye wakazi wasio na kelele za kishamba

hauwezi mkuta mtu wa MWANZA anazarau mikoa mingine

Ila nyie kila siku kuishindanisha MWANZA na mikoa yenu ya kipuuzi

Njooo MWANZA ukutane na matajiri wa kisukuma wasiopenda kujionesha wametulia tu

Kijana wa miaka 21 kijijini kwao anang'ombe zaidi 100 mjini anakula maisha na hana maneno mengi[emoji1]

Vijana wanamitumbwi wanapiga hela za samaki na bado wametulia tu[emoji1]

Vijana wanamashimo huko migodini na bado wametulia hawana kelele[emoji1]

MWANZA fulsa ni nyingi sana watu tunapiga pesa kimya kimya

Ukiwa MWANZA hakuna bus za kwenda ruvuma na zanzibar[emoji1][emoji1] mikoa yote iliyobakia basi utazikuta nyegezi au nyamhongolo na zote zinaanzia MWANZA sijui unanielewa wewe bwiga

Bila kusahau mabus ya nairobi,bujumbura,kampala,lubumbashi na kigali[emoji3] sijui unanipata najaribu kukupa picha japo kwa uchache ukisikia MWANZA city ue na ABC

Bado tuna meli ya mizigo mv jumuiya inatembea nchi tatu Tanzania,kenya na uganda

Ukisikia mtu anakwambia watu wa Mwanza ni washamba basi huyo kihoro kinamsumbua MWANZA tuna mall kubwa ya kisasa Tanzania nzima[emoji3]

Tuna madaraja makubwa ya watembea kwa miguu kama furahisha na mabatini[emoji3]

Tuna tuna mabarabara mengi mazuri hadi njia nne hadi sita... njia sita zinaanzia furahisha hadi ghana[emoji3]... njia sita zinaanzia town hadi airport

Njia tatu zinaanzia nata hadi kijereshi.. voil hadi bohari

Tuna fukwe nzuri na kubwa tena bure kabisa[emoji3]

Tunastand kubwa mbili za kisasa kabisa[emoji3]

Tunamaghorofa mengi sana [emoji3]

Tunahispatili kubwa yenye gorofa 11[emoji3]

Kwenye bata ndio usiseme[emoji3]

Bado kunambuzi itasema MWANZA kuna washamba ni kipi MWANAMWANZA ataenda kushangaa mikoa mingine ambacho kwao hakipo[emoji3][emoji3]

mtu wa arusha akija mwanza atashangaa fukwe kubwa,meli kubw kubwa, atashangaa milima mchana na usiku atashangaa tena kuona milima inawaka mataaa[emoji16] kama valley light italy[emoji95]... atashangaa madaraja makubwa na mazuri

Mwisho kabisa atangaa SANGARA na SATO freeeeeesh [emoji95][emoji95] ashibe akasimulie kwao [emoji16]

Narudi tena kwa picha... leo nipo kukutoa ujinga[emoji378]
Mwanza hands up [emoji119][emoji119]
 
Wadau wa Mwanza kiukweli naumia sana tunapolinganishwa na miji ya ajabu mara arusha, dodoma, mbeya na sasa tunalinganishwa na bunda, hii kitu sio njema kabisa ata kama mnachuki na Mwanza si kihivyo, mkubwa apewe heshima yake.
Mwanza tunamheshimu Dar japo tunafukuza mwizi kimya kimya lkn tunakubali wametuzidi.

Ligi ya Mwanza inapaswa hiwe na kigali, Mombasa na kampala basi.
Mmefanya vizuri lakini kuwashikisha adabu hawa wala mirungi na kuvaa maviatu makubwa na manguo oversize na wanajiona Arusha ndiyo kila kitu.
 
washamba utawajua tu. Ndio nini sasa hicho? Yani Mwanza bila rock city mall ni sawa na Singida tu.
 
washamba utawajua tu. Ndio nini sasa hicho? Yani Mwanza bila rock city mall ni sawa na Singida tu.
 
washamba utawajua tu. Ndio nini sasa hicho? Yani Mwanza bila rock city mall ni sawa na Singida tu.
 
,,,....big up sana watu wangu wa Mwanza ,,,... siku nyingine hamna mtu atakuwa na nguvu ya kuanzisha battle na hili jiji ...we are strong and united .NGUVU MOJA[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Makamanda wa Mwanza hamjatuangusha kwakweli.Hawa watoto wa Arachuga waanze kwanza kujifunza kuvaa na kuacja bangi na Miraa kabla hawajarukia mada nzito kama hizi.Vinginevyo wakichangia na akili zao za bangi na miraa watachakaa [emoji3][emoji3]
 
Yule mamluki wa njombe anachungulia tu Kwa mbali ...hii ngoma nzito[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4][emoji4][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni mwanza wameanza kuona maghorofa na supermarkets nk kuanzia 2010s ndio maana bado mna ulimbukeni na mapicha kila kukicha. Nenda NBS kaangalie miji inayoongoza kwa majengo ya maghorofa nk niliweka mashamba yakatulia kama yapo kwenye fridge. Washamba. Mwanza ina high concentration ya walugaluga. Backwards, genetically idiots. Nikianza kupost hapa mtasema sijui sio arusha au wapi, Arusha waliwatangulia kitambo. Mnajaribu kujishindanisha ili mpate haueni kisaikolojia ila nchi nzima ukisema unatoka mwanza nobody cares wanakuona mshamba wa kawaida ata 5G tu hakuna.
 
Back
Top Bottom