Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Capri point mwanza Tanzania ni bel air au Atherton kwa Tanzania kama hayo maeneo unayafahamu bila Google ni mjanja sio unacompare mwanza na Indonesia ya mavi
Mmevimba kichwa😁😁,Mwanza kijijini tu hakuna cha kushangaza,pamepoa,Raia washamba aaa.hakuna mishemishe

Mshukuruni Magufuli kawasaidia kidogo,kawajengea rock city mall mmepata pa kupigia picha 😁😁😁,wawekezaji wenyewe wanajuta kuchukua frames hapo,wateja hakuna
 
Wewe tafuna kwanza miraa
 
Arusha ni kipi cha kushangaza na kuna ujanja gani
 
Capri point mwanza Tanzania ni bel air au Atherton kwa Tanzania kama hayo maeneo unayafahamu bila Google ni mjanja sio unacompare mwanza na Indonesia ya mavi
Mmevimba kichwa😁😁,Mwanza kijijini tu hakuna cha kushangaza,pamepoa,Raia washamba aaa.hakuna mishemishe,
Tabasamu,gold na upendo Mwanza Tanzania [emoji1][emoji1]


Mwanza tunajipigia tu kwa sasa kilometers 10+ kutoka city center

View attachment 2523185


Mshukuruni Magufuli kawasaidia kidogo
 
Arusha ni kipi cha kushangaza na kuna ujanja gani
Mwanza bila rock city mall ni sawa na singida tu 😀😀, Mshukuruni yule mzee sana,kawajengea sehemu ya kupigia picha 😁

Imewapa kujiamini kidogo na daraja lile
 
Ongeza na vile vijumba vya miti kule uswazi vimekandikwa kwa tope
 
Akili za bangi na Miraa hizi [emoji2957][emoji1787][emoji1787]
 
Kitu nachokubaliana na wew ni kuwa hakuna mlima mrefu kama meru [emoji28]......eti hakuna camping,na luxury estates.......nadhani mwanza unaijulia kwenye battle za jamii forum tu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wanachojua zaidi ya hapa JF,hawa madogo waache kwanza wahangaike na maisha,hapo walipo wana zurura na bahasha za CV mikononi,haya mambo ya fursa za utafutaji hata hawayaelewi.
 
Unaongea ki Arusha au lugha ya Malkia,hebu tuanzie hapo kwanza(
 
Mwanza bila rock city mall ni sawa na singida tu [emoji3][emoji3], Mshukuruni yule mzee sana,kawajengea sehemu ya kupigia picha [emoji16]

Imewapa kujiamini kidogo na daraja lile
Una kilo ngapi za mavazi uliyovaa hapo ulipo kwa sasa.Mitoto ya Arusha bure kabisa [emoji3][emoji3]
 
Wewe jamaa ni mbuzi tu [emoji1] rock city mall imezinduliwa 2015 huko acha kua mjinga

Naona akili inazidi kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…