Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Tukuongezee miraa [emoji4][emoji4]washamba utawajua tu. Ndio nini sasa hicho? Yani Mwanza bila rock city mall ni sawa na Singida tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukuongezee miraa [emoji4][emoji4]washamba utawajua tu. Ndio nini sasa hicho? Yani Mwanza bila rock city mall ni sawa na Singida tu.
Mmevimba kichwa😁😁,Mwanza kijijini tu hakuna cha kushangaza,pamepoa,Raia washamba aaa.hakuna mishemisheCapri point mwanza Tanzania ni bel air au Atherton kwa Tanzania kama hayo maeneo unayafahamu bila Google ni mjanja sio unacompare mwanza na Indonesia ya mavi
Wewe tafuna kwanza miraaShida ni mwanza wameanza kuona maghorofa na supermarkets nk kuanzia 2010s ndio maana bado mna ulimbukeni na mapicha kila kukicha. Nenda NBS kaangalie miji inayoongoza kwa majengo ya maghorofa nk niliweka mashamba yakatulia kama yapo kwenye fridge. Washamba. Mwanza ina high concentration ya walugaluga. Backwards, genetically idiots. Nikianza kupost hapa mtasema sijui sio arusha au wapi, Arusha waliwatangulia kitambo. Mnajaribu kujishindanisha ili mpate haueni kisaikolojia ila nchi nzima ukisema unatoka mwanza nobody cares wanakuona mshamba wa kawaida ata 5G tu hakuna.
Arusha ni kipi cha kushangaza na kuna ujanja ganiMmevimba kichwa[emoji16][emoji16],Mwanza kijijini tu hakuna cha kushangaza,pamepoa,Raia washamba aaa.hakuna mishemishe
Mshukuruni Magufuli kawasaidia kidogo,kawajengea rock city mall mmepata pa kupigia picha [emoji16][emoji16][emoji16],wawekezaji wenyewe wanajuta kuchukua frames hapo,wateja hakuna
Mmevimba kichwa😁😁,Mwanza kijijini tu hakuna cha kushangaza,pamepoa,Raia washamba aaa.hakuna mishemishe,Capri point mwanza Tanzania ni bel air au Atherton kwa Tanzania kama hayo maeneo unayafahamu bila Google ni mjanja sio unacompare mwanza na Indonesia ya mavi
Tabasamu,gold na upendo Mwanza Tanzania [emoji1][emoji1]
Mwanza tunajipigia tu kwa sasa kilometers 10+ kutoka city center
View attachment 2523185
Mwanza bila rock city mall ni sawa na singida tu 😀😀, Mshukuruni yule mzee sana,kawajengea sehemu ya kupigia picha 😁Arusha ni kipi cha kushangaza na kuna ujanja gani
Ongeza na vile vijumba vya miti kule uswazi vimekandikwa kwa topeNyie ndio mnaojaribu kujifariji Kwa kubattle na mji ambao ni mkubwa kuliko wenu thrice , silaha mliyobakiza ni kuita walowazidi hoja washamba .........post hivyo vitu unavyosema tutasema sio Arusha ...labda jina linalowafaa ni migomba city ...mji umejaa migomba Kila sehemu anzia Philips Hadi tengeru ni mabanda na migomba.... mlichowazidi bukoba ni mlima Meru tu vingine vyote mko sawa ..[emoji12][emoji16][emoji16]
Background ya hiyo naura spring ni uswazi wa kufa mtu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2523036
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za bangi na Miraa hizi [emoji2957][emoji1787][emoji1787]Mwanza hakuna hot air ballons, hakuna camping hakuna, luxury estates, hakuna shopping choices, hakuna enough standard hotels, hakuna mlima, hakuna vitu kibao, hawana uelewa wa haraka, hawapo sharp , hawana exposure ya kukutana na watu wa mataifa mbalimbali, hakuna maghorofa ya maana, ni kijiji kilichochangamka, CBD inazidiwa na Dodoma, Arusha City ni wilaya moja tu, waki recategorize kama inavyotakiwa Mwanza is nothing, Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa pale. Hakuna mjanja anaishi mwanza. Expatriates kibao wanaishi arusha ever thought why? wapo ahead. Mwendazake na makonda na gang yao wamefanya juu chini arusha na kilimanjaro zikapoa ila Mungu akafanya yake.
Hakuna wanachojua zaidi ya hapa JF,hawa madogo waache kwanza wahangaike na maisha,hapo walipo wana zurura na bahasha za CV mikononi,haya mambo ya fursa za utafutaji hata hawayaelewi.Kitu nachokubaliana na wew ni kuwa hakuna mlima mrefu kama meru [emoji28]......eti hakuna camping,na luxury estates.......nadhani mwanza unaijulia kwenye battle za jamii forum tu ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea ki Arusha au lugha ya Malkia,hebu tuanzie hapo kwanza(Nshaweka sana huko nyuma mpaka takwimu na mkazikataa, we don't have time for that non sense, mna insecurity you want to feel better kwa kujishindanisha na giant alietulia zake. Mji wa kishamba bana ata madem ukisema unatoka mwanza wanajua boya. Nimewachoka watu wa Mwanza
Anavyo basi zaidi ya kilo 10 za manguo aliyovaa na oversize ya viatu [emoji2957][emoji1787]Tuletee wewe vya Arusha vitushangaze
Hii mitoto ya Arusha hizi hawajui,wako busy na kuigiza kiswahili cha Nairobi [emoji1787][emoji1787]
Una kilo ngapi za mavazi uliyovaa hapo ulipo kwa sasa.Mitoto ya Arusha bure kabisa [emoji3][emoji3]Mwanza bila rock city mall ni sawa na singida tu [emoji3][emoji3], Mshukuruni yule mzee sana,kawajengea sehemu ya kupigia picha [emoji16]
Imewapa kujiamini kidogo na daraja lile
Wewe jamaa ni mbuzi tu [emoji1] rock city mall imezinduliwa 2015 huko acha kua mjingaMmevimba kichwa[emoji16][emoji16],Mwanza kijijini tu hakuna cha kushangaza,pamepoa,Raia washamba aaa.hakuna mishemishe
Mshukuruni Magufuli kawasaidia kidogo,kawajengea rock city mall mmepata pa kupigia picha [emoji16][emoji16][emoji16],wawekezaji wenyewe wanajuta kuchukua frames hapo,wateja hakuna
Kutana sasa na wapiga debe wao ndiyo utachoka zaidi [emoji1787][emoji1787]
Stand ya Araaaahhh
Mtupie na Nyegenga aiseee, unawaaachaje yaaani???Nyamhongolo bus terminal MWANZA [emoji1][emoji1]View attachment 2523229