Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Uwa siwaelewi mnavo sema Arusha inamagorofa mengi wakati CBD ya Arusha ukipiga picha moja unaona tugorofa twote hayo mengi yapo wapi? Lakin CBD ya mwanza inahitaji upige picha zaidi ya uwone majengo yote. Mwanza inamagorofa mwengi than Arusha
 
Hizo gorofa nyingi za Arusha zipo wapi leta picha
Za kule Morieti pengine.Hawa vijana wakishatafuna miraa wanakuja kucomment hapa kana kwamba wapo Manhattan kumbe wapo wanagaragara kwenye vumbi lile jepesi la Arachuga[emoji1787][emoji1787]
 
Mimi ni mtu mtima sina muda wa hizo tabia za kitoto vya primary..
Huwezi kuta mtu na akili anashindanisha picha
[emoji1][emoji1][emoji1] wewe ni mtu mzima usie na akili wa hela

Waliogubdua camera walikua wapuuzi eeeh
 
Mimi ni mtu mtima sina muda wa hizo tabia za kitoto vya primary..
Huwezi kuta mtu na akili anashindanisha picha
Futa akaunti jf, na acha kubishana na sisi basi kama hicho ndo kigezo. Hata hujalazimishwa mbona.
 
Wewe mjanja kabebe mabegi ya wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…