Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
We ni mpumbavu kabisaa, magufuli kaingia kaikuta hiyo rock city mall yeye alienda kuzindua tu mwaka 2015.Mmevimba kichwa😁😁,Mwanza kijijini tu hakuna cha kushangaza,pamepoa,Raia washamba aaa.hakuna mishemishe
Mshukuruni Magufuli kawasaidia kidogo,kawajengea rock city mall mmepata pa kupigia picha 😁😁😁,wawekezaji wenyewe wanajuta kuchukua frames hapo,wateja hakuna