Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Najua inauma ila watu wa arusha inabidi mjikaze tu kisabu[emoji16][emoji16]
 
Taja hotel ata moja ya mchaga niondoke humu tena ita moderator anipige ban, usiniletee vilabu vya mbege vya wachaga.
Hana anachokifahamu, litakuwa lilikuwa Lina weka vitu kichwani lichangamke
 
Wamshukuru sana jiwe hawa,aliwapa upendeleo flani 🀣
Nakuona una chuki na wivu tu hauna kingine, unatamani Mwanza iangamizwe na mabomu kutoka urusi na haitotokea wacha tuwakereeeee.
 
Gold crest hotel ya mchaga hio 🀣🀣,mtu anatoka kaskazini anaenda kuwajengea hotel,wenyeji wanavua dagaa tu πŸ˜€
Wewe ni mjinga wa mwisho hilo jengo ni pssf et ni ya mchaga, kisa kuna manager mchaga hapo au unataka nilutajie mmiliki halali wa goldcrest.
 
Si angejeka Arusha palipochangamka, halafu acha ujinga wako hapa, Hilo jengo unalijua au unaropoka tu
Hilo ni jinga la Mwisho kabisaa, jengo hilo ni la pssf wanasema ni jengo la mchaga kuna mchaga gani ana miliki hotel za maana hapo Mwanza, huku huwa wanamiliki vilabu vya mbege maduga ya kuuza unga na mafuta ya kupima.
 
Hilo ni jinga la Mwisho kabisaa, jengo hilo ni la pssf wanasema ni jengo la mchaga kuna mchaga gani ana miliki hotel za maana hapo Mwanza, huku huwa wanamiliki vilabu vya mbege maduga ya kuuza unga na mafuta ya kupima.
Mkuu hiyo tu ilitosha kuniaminisha kuwa nilikuwa nashindana na bangi.
 
Imekula kwenu hio,fanyeni kazi,msikalishe matako mnasubiri serikali ije iwajengee miji yenu
Mwanza si Arusha hatutegemehi hisani ya serikali kama nyie robo tatu ya majengo ya arusha ni mali ya NHC.
 
Walidanganywa na takwimu za sensa zile za michongo ili kuwa furahisha, sensa Mwanza iliongoza kwa majengo, elimu, afya na huduma zote za kijamii na kwa population sijui wao wameizidi Mwanza kwenye nini?
Takwimu zikiwakatqa ndio zinakua za mchongo?acheni ujinga

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unataka hii battle iendeshwe vipi kwa maneno tu kutoka kwenye midomo ya wala ugoro, picha ndio kila kitu kina rahisisha battle kuliko maneno kutoka kwa wala mirungi, weka picha acha ujinga bwwge wewe.
Bwege ni wewe mshamba unapiga picha magorofa mjini kuna miji ukienda unapiga picha ovyo ovyo unatwangwa risasi...
Smartphone umepata juzi unaleta kisirani mjini
 
Imefanana na ya mama yako kwa ndani mbona
Huna adabu kabisa kwanini unatoa matusi hayo utazani hulitolewa jalalani, sisi sote ni watanzania kuna siku mtoto wako au mjukuu wako atakuja kuishi Mwanza, hizi battle hazijaanzishwa na watu wa Mwanza kwanini tufikie huko, kama umeshindwa kuzuia chuki na hasira zako kaa pembeni.

Leo nimeamini nyie watu wa Arusha bangi ukosefu wa maadili vimewaharibu sana, pumbavu kabisa, pelekeni matusi hukoooo.
 
Jinga hili,unanuka dagaa wewe.fungus za dagaa nini 🀣🀣🀣
Mnapost post mijengo ya wanaume tu πŸ˜ŠπŸ˜€
Maana ya battle ni nini tukae yushindane maneno tukileta picha tunaitwa washamba sasa hii battle tuindeshe kwa style gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…