Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Jinga hili,unanuka dagaa wewe.fungus za dagaa nini 🀣🀣🀣
Mnapost post mijengo ya wanaume tu πŸ˜ŠπŸ˜€
Maana ya battle ni nini tukae yushindane maneno tukileta picha tunaitwa washamba sasa hii battle tuiendeshe kwa style gani?
 
Takwimu zikiwakatqa ndio zinakua za mchongo?acheni ujinga

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hakuna takwimu iliyotukataa ata Dar inakaa kwa majengo kwa Mwanza, haya ukija kwenye postkodi ukija kwenye elimu, afya huduma za kijamii, idadi ya watu kila kitu hamjagusa sasa nambie wewe, arusha imeizidi nini Mwanza?
 
Bwege ni wewe mshamba unapiga picha magorofa mjini kuna miji ukienda unapiga picha ovyo ovyo unatwangwa risasi...
Smartphone umepata juzi unaleta kisirani mjini
Nimemilikia smartphone ukiwa bado hujaanza kutongozwa.
 
Bwege ni wewe mshamba unapiga picha magorofa mjini kuna miji ukienda unapiga picha ovyo ovyo unatwangwa risasi...
Smartphone umepata juzi unaleta kisirani mjini
Unataka hii bado tuiendeshe vipi?
 
Bwege ni wewe mshamba unapiga picha magorofa mjini kuna miji ukienda unapiga picha ovyo ovyo unatwangwa risasi...
Smartphone umepata juzi unaleta kisirani mjini
Picha za miji ya ulaya, asia adi america imejaa tele nao tuseme ni washamba? Wengine hawajawahi kufika arusha wataijua vipi bila picha? Acha porojo na nyenye nyenye zisizo na msingi leta picha kutoka hilo pori lenu.
 
Wanajitahidi kuruka ruka lakini wapi
 
Mara ohoo data za nbs zinasema Mwanza kuna maghorofa 9 tu na arusha ina maghorofa 20,000 haya yumekubali lakini tunataka tuyaone hayo maghorofa yapo wapi na hayo makazi ya arusha yapoje, hii ndio dhim ya hii battle mlioianzisha.

Endeleeni na data zenu kutoka nbs siku wakija data za kusema arusha inaongoza kwa watu wenye vichaa msije mkakataa.
 
Ni aibu sana vibwengo wa mwanza eti wanaringishia infrastructure za serikali? 🀣 🀣 Arusha wenzenu wapambanaji, shauri yenu, mtabaki kuonewa mjini. SI unit ya ushamba.
 
Washamba utawajua tu,🀣🀣 eti rete mapicha hapa (kwa lafudhi ya kiskuma) hakuna mshamba huku wa kushangaa maghorofa jomba. Watu washazoea nyie mabugando bado yanawazuzua kila kukicha picha tu, nenda google utakuta kibao
 
Bwege ni wewe mshamba unapiga picha magorofa mjini kuna miji ukienda unapiga picha ovyo ovyo unatwangwa risasi...
Smartphone umepata juzi unaleta kisirani mjini
Kwahio aliyepiga hii picha ya soko kuu la arusha ilipaswa apigwe risasi[emoji1]
 
Ni aibu sana vibwengo wa mwanza eti wanaringishia infrastructure za serikali? 🀣 🀣 Arusha wenzenu wapambanaji, shauri yenu, mtabaki kuonewa mjini. SI unit ya ushamba.
Kitu gani hapo kimejengwa na mmasai au mchaga, kila jengo kubwa hapo arusha ni mali ya NHC, NSSF, na mashirika ya serikali pamoja na EACO, mji pekee ulijijenga wenyewe ni Mwanza peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…