Nyie mnaringia Nini asee mbona unajitoa ufahamuNi aibu sana vibwengo wa mwanza eti wanaringishia infrastructure za serikali? 🤣 🤣 Arusha wenzenu wapambanaji, shauri yenu, mtabaki kuonewa mjini. SI unit ya ushamba.
Hao google ni washamba waliopiga picha za arusha?Washamba utawajua tu,🤣🤣 eti rete mapicha hapa (kwa lafudhi ya kiskuma) hakuna mshamba huku wa kushangaa maghorofa jomba. Watu washazoea nyie mabugando bado yanawazuzua kila kukicha picha tu, nenda google utakuta kibao
Tunabishana na vichaa hapa, baki nao ngoja nikalaleNyie mnaringia Nini asee mbona unajitoa ufahamu
-center ya radiation si serikali imejenga
- EAC conference centre mmejenga nyie
_parot hotel si jengo taasisi ya srikali
- ngoro ngoro tower si serikali
_ tengeru sakina si serikali
-kisongo nayo, au ni uwekezaji wako
-gemstone si serikali
- n.k au akili yako inapiga reverse wakati mwingine
Leta KISAMVU chako basi tushindie *****Washamba utawajua tu,🤣🤣 eti rete mapicha hapa (kwa lafudhi ya kiskuma) hakuna mshamba huku wa kushangaa maghorofa jomba. Watu washazoea nyie mabugando bado yanawazuzua kila kukicha picha tu, nenda google utakuta kibao
Washavuta mabangi Hawa na Mimi nachichiaTunabishana na vichaa hapa, baki nao ngoja nikalale
Hawa watu wa kaskazini huwa wanatamani Mwanza iangamie, wamejaa chuki sana dhidi ya Mwanza na huwa sijui kwanini.Leta KISAMVU chako basi tushindie *****
USHAMBA na ULIMBUKENI unawatesaHawa watu wa kaskazini huwa wanatamani Mwanza iangamie, wamejaa chuki sana dhidi ya Mwanza na huwa sijui kwanini.
Wanataka battle za maneno na matusi ndio furaha yaoWashavuta mabangi Hawa na Mimi nachichia
Achana na wasukuma wengine ambao hauwajui battle na mimi msukumaWashamba utawajua tu,[emoji1787][emoji1787] eti rete mapicha hapa (kwa lafudhi ya kiskuma) hakuna mshamba huku wa kushangaa maghorofa jomba. Watu washazoea nyie mabugando bado yanawazuzua kila kukicha picha tu, nenda google utakuta kibao
Kila kitu tumewazidi hakuna kitu ambacho kipo arusha Mwanza hamna, lkn kuna vitu vingi vipo Mwanza lkn Arusha havipo hili hawataki kukubali, kutwa nzima wamekalia watu wa mwanza washamba, ukiwauliza ushamba wao ni nini hawana majibu, hawa watu vichwani kuna shida.USHAMBA na ULIMBUKENI unawatesa
Siku nyingine kama wameegemea mlengo huu wasianzishe maada kama hii ya kipuuzi. Wakianzisha wajue justification ya maneo ni picha na data zinginezo.Wanataka battle za maneno na matusi ndio furaha yao
Wanataka tujustify vipi bila kuleta justification, justification ni kama picha na data mbalimbali zenye fact na evidence.Siku nyingine kama wameegemea mlengo huu wasianzishe maada kama hii ya kipuuzi. Wakianzisha wajue justification ya maneo ni picha na data zinginezo.
Moshi waelewa ila Arusha ni mabangi.com hayaelewi hii kitu.Wataka tujustify vipi bila kuleta justification, justification ni kama picha na data mbalimbali zenye fact na evidence.
Yule zombie sunk ameamua kutulia baada ya kuona anatetea kwenye hamna.Moshi waelewa ila Arusha ni mabangi.com hayaelewi hii kitu.
Hao wote ni walewale tu hamna mwenye unafuuMoshi waelewa ila Arusha ni mabangi.com hayaelewi hii kitu.